Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
Jamaa abalikiwe sana alikuwa shujaa haswaa na alipenda kusaidia watu masikin hasa sisi ambao hatuna chochoteJamaa alikuwa na mipango mizuri
Ila ujinga wake wa kujifanya anajua kila kitu hapo ndo alipobugi
Abalikiwe sana
Ila tu alinikera sana alipoanza kunyamazisha wapinzan ambao hao wapinzan wao ndo walimfanya akae ikulu
Mbaya zaid kitendo cha kuua wapinzan wake ndo kiliniudh zaid