Habari njema: Bei ya umeme kushuka kutoka Sh.600/= hadi Sh. 35/= kwa unit moja bwawa la Nyerere likikamilika

Yaani mleta mada unaamini porojo za wanasiasa, eti wakuuzia umeme sh 30, sio kwa hawa kenge waliojimilikisha nchi hii na kujipa umungu mtu.

Mwanasiasa akikwambia nje kuna mvua, toka ushuhudie mwenyewe, hata kama unaisikia kwenye bati, toka ushuhudie hawachelewi kukuletea zimamoto wakawa wanakumwagia maji kwenye bati ili uamini mvua, yao yaende 😂
 
 
Hii habari njema bado ipo
 
 
Kwa utawala upi huo

Iva
Hakuna cha utawala hapa, supply imezidi mahitaji, kwanini wanafungulia maji badala ya kiwasha mitambo yote 9 na kushusha bei?! Tuache kutumia dollar kuagiza gesi za kupikia sasa, tutumie majiko ya umeme, maana umeme wanaumwaga bure tu na kuketa mafuriko wakati wangeweza kuzalisha umeme zaidi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…