Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeongea mambo mengi ila Tanzania umeme ni ghari sana na wengi wanatumia kwa kuchaji simu na taa tuu tofauti na wenzetu ambao wanatumia kuchemsha maji na kupikia pia % kubwa watu wanakimbilia gesi kwa sababu umeme haushikiki ila baadhi ya Wafanyakazi wa Tanesco walikua wanapewa unit kadhaa bure kabisa...mikataba ya hovyo ndio inapelekea umeme kuwa ghari huko kwingine ni mbwembwe tuu...Kuna kitu kinaitwa Production Cost; kama Tanesco wananunua unit kwa so called muwekezaji ili wakuuzie wewe kuna leeway ndogo sana ya kushusha na hata wakishusha utalipa kwa njia nyingine ya Kodi / Ruzuku ili muwekezaji alipwe
Hakuna mtu kasema watoe bure bali bei iwe rafiki kulingana na kipato cha mtu, sasa hivi majiko ya umeme yamegeuka kuwa makabati umeme ni un-affordable wakati ingeweza isiwe hivyo, badala ya kumaliza Bwawa kushusha bei ili watu wapikie umeme tunahangaika kuwa madalali wa mitungi ya Gesi na sijui kuwapa bure watu majiko ya Gesi
Kweli Jamuhuri imegeuka kuwa Bongo Movie..., Full Usanii na Maigizo mwanzo mwisho
Mikataba ya hovyo ndio; lakini pia Production Capacity na hio Production anafanya nani, inamatter zaidi, kama tukifanya Production wenyewe wala hakuna sababu ya kuingia Mkataba na Kupe wa aina yoyote...Umeongea mambo mengi ila Tanzania umeme ni ghari sana na wengi wanatumia kwa kuchaji simu na taa tuu tofauti na wenzetu ambao wanatumia kuchemsha maji na kupikia pia % kubwa watu wanakimbilia gesi kwa sababu umeme haushikiki ila baadhi ya Wafanyakazi wa Tanesco walikua wanapewa unit kadhaa bure kabisa...mikataba ya hovyo ndio inapelekea umeme kuwa ghari huko kwingine ni mbwembwe tuu...
Pana miaka kadhaa nyuma kampuni ya SA ndio ilikua inafanya ukarabati wa mitambo ya mtera wengine waliokua wanakuja kufanya hiyo Service ni Wazimbabwe na Watanzania walioajiriwa kule ukiangalia unaona hivi vitu tunaweza kufanya wenyewe ila pana mikono ya watu ipo mingi ndio maana unaona gharama zinakua kubwa kwa Nchi za SADC nadhani Nchi yetu umeme utakua ghari zaidi kupita hizo Nchi zingine..Mikataba ya hovyo ndio; lakini pia Production Capacity na hio Production anafanya nani, inamatter zaidi, kama tukifanya Production wenyewe wala hakuna sababu ya kuingia Mkataba na Kupe wa aina yoyote...
Kama utatumia Production ya HEP ambayo ina the cheapest running cost by none baada ya ujenzi kumalizika utaona kwamba kuna leeway kubwa zaidi ya kushusha bei....
Kama utajigeuza kuwa dalali ili ununue ili watu wapate faida ili na wewe uuze usitegemee bei itakuwa rafiki...
Hayo yote yanaweza yakawa rectified kwa Tanesco kuendeshwa kizalendo na sio sijui kufumuliwa na kusukwa upya kwa manufaa ya wachache...
Hizi sasa ni hujuma za wazi wazi kabisaKwa uzoefu wangu hapa Tanzania. Usitarajie bei kushuka baada ya bwawa la umeme kukamilika kwa sababu mbalimbali ikiwemo kukusanya hela kwa ajili ya kulipa mikopo iliyotumika kujengea mradi husika.
Rejea mifano ifuatayo:
1. Tuliambia miaka ya 2000 kwamba mkongo wa taifa wa mawasiliano ukikamilika utapunguza gharama za internet. Badala ya kupungua, gharama zikaongezeka baada ya mkongo kukamilika.
2. Wanasiasa walipokuwa wakiwashawishi wananchi wauelewe mradi wa gesi ya Mtwara, walikuwa wakisema umeme utashuka na gharama ya gesi ya kupikia itashuka pia. Lakini gharama za gesi zimepanda wakati gesi inachimbwa Mtwara.
3. Dangote alipoanza kujenga Kiwanda cha simenti Mtwara, wanasiasa wakasema simenti itashuka. Ikasemwa dangote alitaka kuuza simenti elfu 10. Kweli kiwanda kilianza kazi na mikoa ya ndani kabisa simenti iliuzwa elfu 14. Leo simenti katika mikoa hiyo inauzwa elfu 20.
4.. Miradi ya maji ya ziwa victoria ilipokuwa ikijengwa baadhi ya mikoa, wanasiasa walikuwa wakisema gharama zitashuka, lakini gharama zikaongezeka baada ya miradi kukamilika.
Kwa hiyo, kwa uzoefu tu wa maneno ya wanasiasa wa Tanzania tusitegemee bei ya umeme itashuka bwawa likikamilika, badala yake bei itapanda. Pia, SGR ikikamilika nauli ya treni itapanda.
Hii ndio Tanzania.
Kwa bei hiyo deni litalipika, au siasa inachukua nafasi yake hapa na danganya WaTz isiyoisha?Itafika mahala tutagundu kwamba haya mafuriko yanayotokea huko mbugani maji yake yana thamani sana, hii ni kwa sababu nguvu ya maporomoka ya hayo maji kuelekea baharini inauwezo wa kuzalisha umeme mwingi sana na wagharama nafuu.
Tunajua kwamba kuna watu wamewekeza pesa nyingi kwenye miradi ya gesi, na pia wapo watu huko msoga wana mirijanyao kwenye gesi, ila kwa sasa tunaomba muwe na uzalendo, kuweni na huruma na waTz wenzenu jamani. Viwanda haviwezi kukua au kuzalisha bidhaa za ushindani kwa umeme wa ghali namna hii, tukumbukenkwamba viwanda ndio dawa ya kudumu ya tatizo la ajira. Tuhurumieni, tupo chini ya miguu yenu.
Video inamaelezo zaidi.
========================
Tuseme unadaiwa Laki Moja kwa kukusaidia kununua mapipa nane ya maji ambayo yatakuwa yanajaa kwa mvua ili upate maji ya kunywa kwa mwaka mzima maisha yako yote....Kwa bei hiyo deni litalipika, au siasa inachukua nafasi yake hapa na danganya WaTz isiyoisha?
DuuhSio ajabu mpaka likikamilika kwa asilimia mia watanzania wote waishio sasa hawatokuwepo
Nenda chatoSitoacha Kusimama na Hayati JPM.
Itafika mahala tutagundu kwamba haya mafuriko yanayotokea huko mbugani maji yake yana thamani sana, hii ni kwa sababu nguvu ya maporomoka ya hayo maji kuelekea baharini inauwezo wa kuzalisha umeme mwingi sana na wagharama nafuu.
Tunajua kwamba kuna watu wamewekeza pesa nyingi kwenye miradi ya gesi, na pia wapo watu huko msoga wana mirijanyao kwenye gesi, ila kwa sasa tunaomba muwe na uzalendo, kuweni na huruma na waTz wenzenu jamani. Viwanda haviwezi kukua au kuzalisha bidhaa za ushindani kwa umeme wa ghali namna hii, tukumbukenkwamba viwanda ndio dawa ya kudumu ya tatizo la ajira. Tuhurumieni, tupo chini ya miguu yenu.
Video inamaelezo zaidi.
========================
=========================
=========================