Habari njema: Bei ya umeme kushuka kutoka Sh.600/= hadi Sh. 35/= kwa unit moja bwawa la Nyerere likikamilika

Habari njema: Bei ya umeme kushuka kutoka Sh.600/= hadi Sh. 35/= kwa unit moja bwawa la Nyerere likikamilika


View: https://www.instagram.com/reel/CxkxrEitPXL/?igshid=NTc4MTIwNjQ2YQ==

==========================


Itafika mahala tutagundu kwamba haya mafuriko yanayotokea huko mbugani maji yake yana thamani sana, hii ni kwa sababu nguvu ya maporomoka ya hayo maji kuelekea baharini inauwezo wa kuzalisha umeme mwingi sana na wagharama nafuu.

Tunajua kwamba kuna watu wamewekeza pesa nyingi kwenye miradi ya gesi, na pia wapo watu huko msoga wana mirijanyao kwenye gesi, ila kwa sasa tunaomba muwe na uzalendo, kuweni na huruma na waTz wenzenu jamani. Viwanda haviwezi kukua au kuzalisha bidhaa za ushindani kwa umeme wa ghali namna hii, tukumbukenkwamba viwanda ndio dawa ya kudumu ya tatizo la ajira. Tuhurumieni, tupo chini ya miguu yenu.

Video inamaelezo zaidi.



========================



=========================



=========================



==========================
Update: 28/05/2023
Maharage Chande - “Bwawa la Nyerere likianza gharama za uzalishaji umeme zitashuka sana, ila umeme kushuka bei ni sisi ndio tutaona busara ikoje”.
Hivi huyu jamaa ana akili sawa sawa kichwani kweli?

Hajui multiplier effect ya umeme kushuka bei na viwanda kukua na kuzalisha ajira na kukuza uchumi? Hajui?!



===========================
Update: 29/05/2023

===========================
View attachment 2972964

iyo ni ndoto ya mchana sio ndoto ya usiku kushuka kwa bei ya Umeme bongo labda Marehemu Magufuli arudi duniani aongoze tena sio rahisi kabisa kushuka kwa hiyo bei uliyotangaza.
 
Makato ya mwezi yamepanda hadi 2,000. Kazi iendelee. Serikali chini ya ccm has never been for wananchi, zaidi sana kuwaumiza na kodi, tozo kia siku.
Unamaanisha ile kodi ya majengo kwa sasa wanakata buku 2 ama?
 
Aaagh, imebidi niingie google kusearch hiyo habari, nimeikuta jukwaa la Siasa, ni kweli bhana.., heee
cha muhimu magari ya tamisemi yapatikane kwa wingi tulieni
 

Attachments

  • 0521F013-3426-4FFA-906F-99A8F65E24E4.jpeg
    0521F013-3426-4FFA-906F-99A8F65E24E4.jpeg
    180.4 KB · Views: 5
 
 
iyo ni ndoto ya mchana sio ndoto ya usiku kushuka kwa bei ya Umeme bongo labda Marehemu Magufuli arudi duniani aongoze tena sio rahisi kabisa kushuka kwa hiyo bei uliyotangaza.
John alikuwa na nia njema sn taifa ila jamaa wakamrestisha ili wafaidi utamu wa keki..
 
Back
Top Bottom