Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Tunashukuru sana kwa kuongezewa eneo lingine la kuanikia uchafu .
======
Maxence Melo: JamiiForums Tumetengeneza "Jukwaa Maalum" la kusaidia wananchi kupaza sauti zao bila kuweka wazi utambulisho wao. Jukwaa hili linaitwa "Fichua Uovu"
Mwananchi yeyote anayetaka kutoa taarifa ya Uovu wowote, Matukio ya Rushwa au Uvunjwaji wa Haki za Binadamu anaweza kuandika kupitia #FichuaUovu bila kujulikana yeye ni nani