Habari Njema: JF ina Jukwaa la kufichua maovu, Wafichuaji hawatajulikana

Tunashukuru sana kwa kuongezewa eneo lingine la kuanikia uchafu .

======

Maxence Melo: JamiiForums Tumetengeneza "Jukwaa Maalum" la kusaidia wananchi kupaza sauti zao bila kuweka wazi utambulisho wao. Jukwaa hili linaitwa "Fichua Uovu"

Mwananchi yeyote anayetaka kutoa taarifa ya Uovu wowote, Matukio ya Rushwa au Uvunjwaji wa Haki za Binadamu anaweza kuandika kupitia #FichuaUovu bila kujulikana yeye ni nani

Hii ingekuwa safi sana awamu ya Tano.
 
Tanzania haina watu wenye maovu ila kuchafuana kisiasa tuu
 
....nakazia
....ltena muda MUREFU kweli kweli!

Au aliiishiwa content huyu mleta taarifa?
Nadhani uwepo wa taarifa ni tofauti na kufahamika kwa taarifa.

Mfano taarifa za habari zipo kila siku, lakini kuna ambao hawazifahamu wanazipata kwa utaratibu kama alioufanya mleta mada.

Watanzania bhana daah! Kaazi kweli kweli.

Haujapendezwa na kitendo cha mleta mada kufahamisha wengi kuhusiana na taarifa hii?
 
Mkuu usihangaike na Wajinga
 
Haijalishi. Bandiko kuu lishabadilishwa, hapo ndipo ungeelewa nilimaanisha nini. Itoshe mimi kusema "mleta taarifa " haikuwa na maana ya "Taarifa" per se.

Umeleta mfano mzuri tu, kwamba kuna ambao hawazifahamu taarifa zilizopo-wewe hufahamu Makonda aliwaita CHADEMA 'watoa taarifa' ? au unajiondoa ufahamu? Kumbuka mleta mada ni mwana CHADEMA yaani ni piiipoozz kindaki ndaki

Watanzania wengine bhana, kurukia rukia tu

Na kwa taarifa yako, ndio sikupendezwa na bandiko lake kuu na hatahivyo lishabadilishwa, kwahiyo unaweza fikiria unachoeza.
 
Back
Top Bottom