Habari Njema: JF ina Jukwaa la kufichua maovu, Wafichuaji hawatajulikana

Habari Njema: JF ina Jukwaa la kufichua maovu, Wafichuaji hawatajulikana

How far?
Maovu ni nini?
Nani anasema hili ovu na hili sio ovu?
Ni mapema sana kuzungumzia hilo swala
Kuna kitu kinaitwa investigation sio polisi bali private investigators. Sidhani kama JF wataanika tu kila litakaloandikwa, watafanya uchunguzi before hawajaweka kwa public.

Well done Maxence Melo
Afadhali una uthubutu
Kama BBC wanaweza kwa nini JF isiweze.

Tufichue uovu tujenge na kutetea Taifa letu!
 
Kuna uovu wa Chadema nataka niufichue wasije kunikataa tu kujiunga.
 
Inaweza kusaidia kiasi fulani kama mamlaka zitakuwa serious kweli kwa kupita humo na kuchukua notes na ndugu zetu JF wakiwa kweli wasiri wetu...watu/jamii ina mengi inayoyaona kila siki huku mitaani na taarifa zinaweza kuwepo with clear evidence.
 
Back
Top Bottom