johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Rudi kwenu uwasaidie wazenji wenzio... Ya bara ni mazito kwako.Ni uwendawazimu huo.
Yaani Karne ya 21 lakini bado kuna watu wanafikiria tiba za kishirikina.
Zenji watapelekewa hizi hema pia!Rudi kwenu uwasaidie wazenji wenzio... Ya bara ni mazito kwako.
Tulia uunase ndo uje uandike hivi kichekechea chekechea tena.Ukisikia u ta hi ra ndio huu
Bavicha huyo!Tulia uunase ndo uje uandike hivi kichekechea chekechea tena.
Sasa wewe kwa akili zako unaamini corona inakimbia mwilini kwa kupigiwa nyungu?Tulia uunase ndo uje uandike hivi kichekechea chekechea tena.
Mimi nilifanya nikashusha homa na pua ikaacha kuwasha...Haitibu ila inakupa nafuu na baadhi ya dalili makali yanapungua au kupotea... Wewe jambo bado ni theory kwako,kwa wengine tushafanya fanya practical halafu unaleta kimbelembele.Sasa wewe kwa akili zako unaamini corona inakimbia mwilini kwa kupigiwa nyungu?
Kama unaamini hivyo basi mzazi/mlezi wako ada aliiharibu bure tu
Usisahau kwamba vidonge vinatokana na miti shamba pia. Au unadhani ni udongo?Ni uwendawazimu huo.
Yaani Karne ya 21 lakini bado kuna watu wanafikiria tiba za kishirikina.
Twafa, nadhani tumepiga hatua nyingi nyuma badala ya kusonga mbele kisa bashiteNi uwendawazimu huo.
Yaani Karne ya 21 lakini bado kuna watu wanafikiria tiba za kishirikina.
Mbunge Lema awezi kusapoti uchawi wa mjinga mmoja aliyeko kijijini kisa corona.
Korona imekwisha wao ndiyo wanashituka, watatumia kugemea asali.Watanzania wameendelea kuwa wabunifu katika kujenga mikakati imara ya kukabiliana na janga hili hatari la Corona.
SIDO mkoani Arusha wametengeneza hema maalumu kwa ajili ya kujifukizia au ukipenda kupiga nyungu.
Hema hilo ni mfano wa kama kibanda kidogo cha turubai ambacho mhusika ataingia ndani yake akiwa na nyungu zake na kujifungia humo hadi nyungu zipoe.
Bei ya hema hizo inakadiriwa kuwa kati ya sh 350,000 na 400,000
Wito umetolewa kwa mashirika na taasisi zote mkoani humo kuona umuhimu wa kuwanunulia wafanyakazi wao hema hizo.
Source: ITV habari
My take; hongera mbunge wa Arusha mjini
Maendeleo hayana vyama!