Sasa wewe kwa akili zako unaamini corona inakimbia mwilini kwa kupigiwa nyungu?
Kama unaamini hivyo basi mzazi/mlezi wako ada aliiharibu bure tu
Tukienda kwenye vipimo sina hoja! Lkn baada ya Pasaka niliumwa sana, sifa zote za Corona nilikuwa nazo.
Nilipima vipimo, kama widal, full blood picture na urinalysis, vipimo vyote vilionesha Niko sawa. Mwili ulikuwa hauna nguvu kabisa Niko kitandani.
Wanaonihudumia wakapewa maagizo wanitengenezee nyungu nifukize, nilifukiza mchana, siku na alfajiri, nikakandwa maji ya Moto, nikawa napewa chakula bora kwa mpangilio wa kila baada ya half an hour.
Kwamaana ya uji wa lishe, supu ya kuku, chakul ugali samaki, supu ya ng'ombe , tangawizi yenye karafuu na limao. Kila siku kwa kweli niliinuka na kurudia afya yangu.
Kwa kweli mgonjwa wa Corona, siyo wa kumtenga ni kuwa naye karibu na kumhudumia ipasavyo, mambo ya usomi usomi , impossible impossible ,tuziweke pembeni, kumkimbiza mgonjwa hosp kwa hili janga jamani mkiona anashida ya kupumua sawa lkn kama yupo vzr nyungu na lishe bora vipewe nafasi.
Kingine ni kuwa na mashine ya kupima pressure na kutambua nn kinarudisha pressure kuwa sawa, basi kuviweka karibu kwa msaada wa haraka.