Habari Picha: Hii picha imebeba ujumbe gani?

chadema sidhani kama wanaelewa kitu kinaitwa hitifaki
 
Hiyo picha ina tafsiri nyingi sana:
  • Unyenyekevu
  • Unyonge
  • Uoga
  • Umasikini
  • Kutojiamini
  • Kujishusha (dhidi ya mkubwa)
  • Heshima (kwa mkubwa)
  • Utumwa (kwa boss)
So itategemea na mtu binafsi anaitafsiri vipi.

Swali: Kwanini wao wote (waarabu) hawakufunga mikono yao mbele?

-Kaveli-
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…