Jemima Mrembo
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 2,864
- 8,328
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unyonge
Wanasutwa na dhamiri zaoUnyonge
Kila jamii ina conducts zake
Unyonge mbele ya wezi wa rasilimali zetu. hawa waarabu tushike bunduki tukomboe nchi yetu mara ya pili.
Wenye nyekundu ni waafrika(Watawaliwa)!
Kwanini wamejikunyata na kwanini hawana furaha wala ujasiri?Wenye nyekundu ni waafrika(Watawaliwa)!
Naked truthkuweka mikono hvo ni ishara ya kukosa confidence na uoga
Wanapewa masharti ya mikataba,kwako ni shingo upande!Kwanini wamejikunyata na kwanini hawana furaha wala ujasiri?
Hii maana yake nini?