Habari wana jf kuna ujumbe nimepata kutoka google play kuusu usajili ku canceled na sijajua kama ntarudishiwa pesa na kama ntarudishiwa itachukua mda

Mkuu si hapo wameandika kiswahili kabisa au mi ndo naona vibaya, ila siku laumu una hofu na pesa yako na amini watarudisha usijali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…