juma athuman mbunda
Member
- Jan 26, 2025
- 23
- 44
Naishi Dar es salaam nimewahi kufanya kazi kwenye shule za private ili nilishndwa kuendlea kufanya kazi sabbu shule ambazo nilibahatika kufanya kazi hawalipi mishahara Kwa wakati unaweza kukaa hata miezi mitatu hujalipwa hivyo naombeni mnisaidie connection ya kazi yoyote ambayo itaniingizia kipato ili niendeshe maisha yangu pia nauzoefu wa kufanya kazi kwenye makampuni mbalimbali nchini kama ya usafirishaji pia ni kijana mwaminifu mwenye kujituma .