ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 16,871
- 39,881
Mimi ni Mtanzania ninayeishi Albetta Canada
Najua Watanzania wenzetu Sasa hawaipata jamii forums kama jukwaa huru
Nawapa pole Jamii forums na kuwatia moyo kuwa Sasa ushindi unakaribia
CCM na njama zake wanakaribi kuanguka, wamegusa pabaya.mara hii
Jamiiforums ni kubwa mno, yaani jamii forums inawatoa hao wahuni madarakani
Hivi serikali hawataki Rostam asemwe yaani gesi na makaa ya mawe achimbe Kwa rushwa wananchi wasihoji
Nimeona wamefungia kisa picha ya Kizimkazi na Mzimbabwe waliopiga Ikulu kwenye ofsi ya umma kuvuna.
Sasa Watanganyika nadhani adui tumemjua