comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Sawa Mimi nipo LondonWapo ki vpn usiogope .mwenyewe nipo atalanta.welcome to Atlanta
Sawa Mimi nipo LondonWapo ki vpn usiogope .mwenyewe nipo atalanta.welcome to Atlanta
Mkuu uwanja wa ndege kule dar (JNIA)kuna foleni ndege zimejaa🤣🤣🤣Kilamtu anasema yupo nnje Kwa nguvu ya vpn
Wale machawa wanaosifia CCM watakuja tena kusifia Kwa kutumia vpnMkuu uwanja wa ndege kule dar (JNIA)kuna foleni ndege zimejaa🤣🤣🤣
Sio kila mtu. Mimi na Mshana Jr tuko Gamboshi. Tulikuwa tumeshaacha tunguli ila hii siri kali imesababisha turudie mikoba ya kilingeniKilamtu anasema yupo nnje Kwa nguvu ya vpn