Salama sana bwashee, ila ndio nimeona hii I'd leoNawasalimia wakuu maana sku nyingi sjaingia humu ndan
Siku zipi mkuu?Habari za sku nyingi wakuu
πππ nakutishaje cocaJoh mbona unanitishaa atii? πππ
Mwisho Waja waseme matipo zangu, wakati mie wala siwezi mambo hayo.πππ nakutishaje coca
Hivi weweNikiona dalili za rushwa au utekelezaji mbovu tu natumia takukuru app au simu ya dharula 113 kutoa taarifa.
Mimi sio kirusi lakiniπ€£Hivi wewe
πMimi sio kirusi lakiniπ€£
I am just raising awareness.