kitoto wa vitoto
JF-Expert Member
- Jul 28, 2019
- 375
- 410
Kubemendwa ni nadharia tu ila hakuna kitu kama hicho, jitahidi umpate Daktari mzuri specialist wa watoto na pia usitake matokeo ya faster faster...mtoto atapona na kuwa mzima kabisaNina mtoto wa kike ana MWAKA na mwezi 1 alizaliwa akiwa na changamoto ya kulia sana
Tulimuona Dr mara kadhaa
Dr wengi hawakuona ugonjwa Ila baadae tuligundua ana TB ya mapafu alipata matibabu Ila bado afya yake bado imedhoofika sana tumempa kila aina ya lishe
Ila bado uzito wake ni ule ule pia hajatambaa Wala kutembea
Ila anakaa tu
Watu wengi hudhan amebemendwa Ila si kweli je nifanye nini?
Nisaidieni wataalamu wa afya
Nina mtoto wa kike ana MWAKA na mwezi 1 alizaliwa akiwa na changamoto ya kulia sana
Tulimuona Dr mara kadhaa
Dr wengi hawakuona ugonjwa Ila baadae tuligundua ana TB ya mapafu alipata matibabu Ila bado afya yake bado imedhoofika sana tumempa kila aina ya lishe
Ila bado uzito wake ni ule ule pia hajatambaa Wala kutembea
Ila anakaa tu
Watu wengi hudhan amebemendwa Ila si kweli je nifanye nini?
Nisaidieni wataalamu wa afya
AmeniNenda muhimbili au hindumandal hospital zote zipo Dar... Ila anza na Hindumandal
Mungu ni mwema aendelee kuimarisha afya ya mtoto, usiogope mtumainie Mungu muweza yote
P
Kila la kheri.
Tumeanzia hospili ya icc tukaandikiwa hospitali kubwa ya mount meruPole sana.
Mojawapo ya madhara ya TB ni mtoto kuwa na ukuaji hafifu (uzito mdogo nk). Naamini atakuwa amepimwa pia magonjwa mengine ya maambukizi na hata yale ya kuzaliwa nayo.
Kwa umri wa mwaka mmoja hatembei ni tatizo kubwa ambalo mpaka sasa ulitakiwa wewe kama mzazi umekwishaelewa kwa nini yuko hivyo. Sijajua kama alipozaliwa alipata shida yoyote ( alichelewa kulia baada ya kuzaliwa?).
Ni muhimu sana umpeleke mtoto wako hospital kubwa ili akaonwe na daktari bingwa wa watoto (pediatrician) ili aweze kuchunguzwa na kufanyiwa vipimo ili kuweza kubaini ugonjwa unaomsumbua.
Kila la kheri.