Tetesi: Habari zaanza kuvuja kuhusu zilikoenda Trilioni 1.5 "zilizopotea"

Ruzuku chadema mnapigwa Kila siku pesa hazifiki wilayani Wala mikoani mnapigwa mnakaa Kama bubu hamuongei
Hoja siyo CHADEMA, hoja ni 1.5tr yetu, wala si ya CCM. Ruzuku ya CCM asili mia 90 anakabidhiwa Bashite kwa ajili ya kuteka, kutesa kuua na waganga wa kuwabakiza magogoni. Taja wilaya moja iliyopata ruzuku ya CCM. Halafu sema kama CHADEMA wanahusika vipi na hiyo 1.5tr.

Tuliza mshono
 
Kwa ufupi pesa zetu zimepigwa vibaya,wasilete sababu za kitoto,
Kipindi cha nyuma walipiga kupitia Kampuni inaitwa meremeta,turipohoji,wakasema,hayo matumizi hayahojiki,yanahusu usalama wa Taifa
 
Yanafanyika hayo ili sisi tuweze kendelea kupiga porojo humu kwenye Mitandao.
Ukiona unalala na kuamka salama tambua kuna watu hawalali ili wewe upate huo utulivu.
 
Ulipoona anatafuta ushauri kwa PK kabla ya yote ungegundua ameamua kutupeleka wapi. Tutakoma kipindi hiki.
 
Sidhani maana hakuna security threat kuba kiasi hiko
Mkuu, hilo ndilo linaloshangaza watu. Kwa nini fedha nyingi namna hiyo zinaenda huko, kwani nchi ina tatizo gani? Na kama ni kweli tunasaidiwa na nchi jirani katika mambo ya Uslama, sidhani kama ni vigumu kutumia Trilioni 1.5
 
mungu fake wa Dar na Ras wa Tabora walikuwa wanashindana kuanzisha vitengo nje ya vitengo.
 
Ulipoona anatafuta ushauri kwa PK kabla ya yote ungegundua ameamua kutupeleka wapi. Tutakoma kipindi hiki.
Hivi ushauri huo haulipiwi "consultancy fe" kweli? Sintashangaa. Kuna wakati walisema wangeleta watalaamu wa IT kutoka huko - lengo kubwa ilikuwa kudadavua watu wanamsema mkulu na serikali kupitia mitandao. Walipogonga mwamba wakashauri zitungwe sheria kufunga watu midomo.

Hivi mnajua ni fedha kiasi gani zinatumika kama consultancy fees kujaribu kuingilia na kupata habari za ndani na mitandao kama JF? Hata wataalamu toka nje wameletwa!
 

Itakuwa vizuri sana wafadhili kama World Bank, EU na watu kama Bill Gates wapate habari hizi ili wasipoteze fedha zao kwa nchi inayotumia fedha ovyo bila kufuata utaratibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…