Tetesi: Habari zaanza kuvuja kuhusu zilikoenda Trilioni 1.5 "zilizopotea"



Mkuu niko salama na nina jiamini....Usimsikilize mropokaji Lissu, yule ilibidi akomeshwe tu na kwa hasira anawatishia wengine ili waogope.
 
Nikiangalia idadi ya pesa na utumbo wako haviingiliani kabisa,ni mbingu na ardhi,porojo hizi wataelewa mashabiki wako tu,sio ma GT.
Majibu ya naibu waziri wa fedha yalijitosheleza kabisa
Na wewe unajiweka kwenye kundi la ma GT?
 
kama noti moja ya shs 10000 ina gram 2 je shs trilion 1.5 za elfu kumi kumi zitakuwa na kg ngapi
 
Mazungumzo baada ya habari..
Tunajuwa wale wanausalama wanapewa "blank chq", ila kwa hili?! mhhhhh.....😎😵🙄
Na ni kweli wanazitumbuwa kama hawana akili nzuri...si za bure! hazina ukaguzi! 🙁😕😱
Mungu akupe nini zaidi ukiwa mwanausalama!🙂🙂🙂😉
 
Hata posho unayolipwa wewe MOTOCHINI, YEHODAYA na wenzako wa Lumumba kwa kutetea unyama unaofanywa na serikali dhidi ya wanyonge yaani buku saba, ni sehemu ya hizo T. 1.5. Kilangila.
 
Ukiulizwa hela za mabilioni Chadema inazopewa Kama ruzuku huwa zimetumikaje unatoa mimacho tu Kama mjusi aliyefiwa na mkwewe kwani huna ulijualo.Nenda kahoji huko kwanza
Mfia chama utamwona tu tunazungumzia pesa za umma ambazo kila mwananchi ametozwa kodi awe na chama au asiwe na chama, hivi mm hapa nitaanzaje kuwauliza Wana fisiem kua hizo hela mmetumiaje? Wakati ni za chama chenu?
 
Kwa jinsi mhutu anavyojihami na anajua watu wanavyomchukia inawezekana kweli ameajiri na watu wake kutoka uhutuni kwa mishahara minono.
 
Story gani za kishamba hizi mnatuletea tuambie 1.5 trn zipo wapi msiange tulisha matango pori hapa
 
 
Sasa kama hazikaguliwi na CAG Huyo CAG kazigundulia kutoka wapi ???
 
Pesa nyingi alipewa Naibu Rais ndugu Maliyamungu idd Amin Bashite ambaye anamiliki kikundi cha wasiojulikana na ambao wanajulikana sasa akina Cyprian Msiba, Le mutuz, Heri Kisanduku makapero, Jerry Muro, Lipumba na wengineo wasiojulikana, hicho kikundi chenye Tenda ya kudhoofisha upinzani na kuua CUF na chadema ili kurejesha mfumo wa chama kimoja kimekula pesa nyingi hakuna mfano, watanzania wakianza kudai pesa zao wajua wa kwanza kuwadai ni hao kisha wengineo wataendelea kuchunguza na kuwagundua taratibu baadae.
 
Mfia chama utamwona tu tunazungumzia pesa za umma ambazo kila mwananchi ametozwa kodi awe na chama au asiwe na chama, hivi mm hapa nitaanzaje kuwauliza Wana fisiem kua hizo hela mmetumiaje? Wakati ni za chama chenu?
Naibu Rais ndugu Maliyamungu idd Amin Bashite ndiyo anatafuna pesa nyingi kutoka humo Trillion 1.5 kwa kazi ya kudidimiza chadema na kudhoofisha upinzani kwa ujumla.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…