Tetesi: Habari zaanza kuvuja kuhusu zilikoenda Trilioni 1.5 "zilizopotea"

Zimepelekwa jeshini kama meli ya bagamoyo,
Zipo tumboni mwa Le mutuz na wenzake huko mitaani mkiwaona muwadai pesa zote ili iwe fundisho kwa wengine
Wenye lengo la kutafuna pesa za Umma kwa visingizio vya ajabu na hovyo hovyo kama vyao.
 
Ni wakati watanzania waanze kuwadai pesa kikundi chote cha Naibu Rais Maliyamungu Bashite kila wakionekana huko mitaani ili iwe fundisho kwa wengineo wanaojipanga kula pesa za walipa kodi kwa mambo ya hovyo hovyo yasiyo na tija kwa Taifa kama yao.
 
Kwa jinsi mhutu anavyojihami na anajua watu wanavyomchukia inawezekana kweli ameajiri na watu wake kutoka uhutuni kwa mishahara minono.
Pesa nyingi inapigwa na Naibu Rais Maliyamungu Bashite na kikundi chake cha Akina Le mutuz, Jerry muro, Lipumba, Cyprian Msiba , Heri Kisanduku makapero na wenzao wasiojulikana, ukiwaona huko mitaani hata kwenye Bar au club wadai pesa zako za kodi na pesa za Umma ni bora watanzania waanze kuwadai popote wanapowaona itasaidia waache kutafuna pesa za Umma kwa mambo ya hovyo hovyo yasiyo na tija kwa Taifa.
 
Gazeti la Tanzanite na gazeti la Janvi la Habari ni sehemu ya Trillion 1.5 ni wakati Wapinzani waende kudai pesa zao kwenye ofisi za hayo magazeti.
 
Mkuu uko sahii. Tatizo ninalo liona ni kwamba mtoa hoja na wachangia hoja hii wote humu, kwanza nahisi hawajakiona chuo na pili hata kama wamekiona basi sio watu ambao wana affinity kubwa na mahesabu.

Eti kweli mtu ambaye ana akili timamu ana amini kuwa 1.5 Trilion zimetumika kwa ajili ya usalama na intelligensia? Swali hapa linakuja wako wangapi? Na wanaweza wakatumia kiasi chochote wanachotaka kwenye nini?

[emoji3][emoji3][emoji3] Hicho kichekesho akamweleze shangazi yake. Hapo hata kuku watacheka.

Nchini Tanazania ina onekana mijitu iko iko tu. Mishipa mbele kichwani ni Zero. Mtu unashindwa hata kujiuliza mahesba ya relations ambayo yako katika topic ya Algebra? Na algebra iko hata shule ya msingi?Je tukienda kwenye mahesabu ya transcendent si ndiyo wanapotea kabisa? Kwenye ma-tangens hyperbolicus na differential equations zake na matumizi yake kwenye mambo kama contral system of may be a medium flow like water or air. Ukizingatia compresibility ya air na viscosity of the medium in a versel kama bomba na kadhalika. Any way, tuachane na hayo. Nilikuwa nachomekea tu kama Magufuli anavyosema.

Wanaume wazima kuongea mambo ya kanga kama wanawake vile. Hata haibu hawana. Hii nchi ndiyo Rais Magufuli anataka kuifanya iwe nchi ya viwanda. Ataimba sana! Itawezekana vipi kuwa nchi ya viwanda wakati hata discussion ya utaalam na wala business kwa vijana hakuna? Vijana ambao wako vyuoni na pengine kumaliza vyuo wana thubutu kuongelea nani humu amepata likes nyingi! It is absurd!

Nafikiri Rais Magufuli ana ota njozi za mchana. Nchi ya viwanda iko tu kwenye mawazo yake labda! Lakini sio kwenye mawazo ya watanzania. Watanzania hawako huko. Wako kwenye kusubiri viwanda vije lakini sio kwamba wao wenyewe ndiyo wahusika wakubwa wa kuvianzisha hivyo viwanda. Feelings hizo hazimo kwa watanzania. Asahau kabisa. Na atupilie mbali wazo hilo.

Rais atafanya makosa makubwa kuwalinganisha watanzania na wachina. Wachina wana discipline ya kazi. Walikwisha kuwa drilled toka enzi za Mao Zedong, lakini sio sisi. Hatujaandaliwa hivyo. Sisi tume andaliwa kupokea ambacho baba anatuletea na sio kutafuta. Sisi ni watu wa kusimama kando kando ya barabara na kushangilia baba wa taifa anavyo pita na kutegemea neema kutoka kwake.

Rais Magufuli atapita atasima atayasikiliza matatizo yetu na kujaribu kutatua matatizo ya mtu mmoja mmoja na mengi yao kuhusu dhulma ya mahakama na kadhalika. Ataondoka na kuendelea na safari yake.

Hivyo ndivyo Rais ana waandaa wananchi wake waje kuwa wajasiliamali na watu wenye vision na innovation ya kufungua viwanda Tanzania. Safi sana!
 
Niliwahi kusema awamu hii inaweza kuja kuwa ndio awamu ya ufisadi kuliko awamu zote 4 zilizopita. muda ni mwalimu mzuri sana.
 
Inawezekana Kuna Jamaa inasemekana ni Usalama wa Taifa anajenga apartments za Anasa sana Goba.......
 
mbona hakuna kiambatanisho katika habari yako?
 
Kwani kuna sehem CAG hiyo 1.5 kahoji?ktk hoja Zilizoorodheshwa na CAG hiyo ya 1.5 ipo page namba ngap?Hiyo ya 1.5 ni hoja zenu nyinyi sio CAG.
 
Inaweza kuwa kweli lkn unatakiwa ujue matumizi yoote ya Usalama huwa yako chini ya Ofisi ya rais na hesabu zake zinapaswa kuwa huko hili siwezi kuliamini inapaswa waseme ukweli hizo 1.5 Trilion wamepeleka wapi
Kwahiyo majibu ya NW fedha majibu yake hukuyaelewa?au unataka majibu ya kuendana na fikra zako
 
ETI cag KUNA 1.5 ZIMEIBIWA?
HAPANA MKUU
 
Kwahiyo majibu ya NW fedha majibu yake hukuyaelewa?au unataka majibu ya kuendana na fikra zako
Nyie endeleeni tu kupiga domo si mlishatufanya sisi watz mazwazwa siku yenu yaja
 
Nyie endeleeni tu kupiga domo si mlishatufanya sisi watz mazwazwa siku yenu yaja
Mmepewa majibu bado mnaendelea kuhoji hela ziko wapi mara propaganda kibao.Basi tuambieni nyinyi ziko wapi?Hakuna CAG Alipohoji hicho kitu lkn nyinyi mnaforce iwe agenda licha ya kupewa majibu.
 
Mmepewa majibu bado mnaendelea kuhoji hela ziko wapi mara propaganda kibao.Basi tuambieni nyinyi ziko wapi?Hakuna CAG Alipohoji hicho kitu lkn nyinyi mnaforce iwe agenda licha ya kupewa majibu.
Nakwambia hivi siku yenu yaja
 
Mkuu Sinthesizer usijisumbue kuwaelekeza hao vijana wa Lumumba.Hao hata wakinyewa vichwani watasema,Hewala baba hizi ndio baraka zenyewe .Wako brain washed kwa kiwango cha PHD!
 
ETI cag KUNA 1.5 ZIMEIBIWA?
HAPANA MKUU

Sasa aliposema bunge lihoji matumizi ya 1.5 T alimaanisha nini? Kwa jinsi alivyoulizwa lile swali ulitegemea ajibu nini? Kaandika zimetumika nje ya utaratibu.

Kama mheshimiwa hawezi hata kutofautisha hivyo vitu viwili ni tatizo.
 
Usalama ni gharama mkuu kama utatia mashaka matumizi ya feza kwa kuimarisha usalama wa nchi/idara zinazohusika na usalama, sasa subiri kuzitumia hizo fedha kutibu majeraha yatakayoletwa na hali tete ya usalama nchini.
Mimi siku zote sipendi kulinganisha baadhi ya mambo yalivyo sasa na enzi za Nyerere, na miongoni mwayo ni gharama za matumizi ya serikali kwani kadri tunavyosonga mbele gharama za maisha ni lazima ziongezeke sio kushuka au kuwa sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…