Tetesi: Habari zakutisha, Marais wawili wa mataifa makubwa kiuchumi hawajulikani walipo ila mmoja inasemekana kapinduliwa

TumainiEl

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
6,782
Reaction score
12,716
Igweeee. Jamani huko duniani taifa linaongoza kutoa simu za kila aina ya majina na michezo ya watoto, inasemekana jeshi limempinduwa kwa makosa ambayo bado hayajatajwa. Japo za kunyapia nyapia inasemekana mpango wa Urusi kutumia bomu la nyukilia limekuwa kitufe cha moto kwa washirika wake.

Taarifa zinasema kiongozi huyo kwa sasa yupo kwenye kifungo cha nyumbani.

Mnyapishaji anasema pia kwenye taifa la watoa gasi kwa wingi duniani, pia namba moja, amerekodi matukio na kutokomea kwenye misitu kusiko julikana.

Yaani kama kuna wakati majasusi wa Mossad, CIA na Mi6 wanafanya kazi, basi ni muda huu kuiepusha dunia na vita ya dunia.
 
Bring back Ben Saa nane muuaji mkubwa wewe
Nilimwambia hivi anakoelekea siko na Magu nikamwambia asipende kukitaja kifo same akafa. Kama kosa litakuwa umuulize Mungu huyu kijana wako wanamna gani mbona anachosema kinatokea. Nje ya hapo ur westing ur time.
 
Naamini Xi Jingpin yupo na hakuna mapinduzi. Niliachana mara moja kusoma habari za vyanzo vya Kihindi, kati ya nchi ina waandishi wabovu sana na wa mchongo India inaongoza. Hawakawii kuzusha habari ili kupata engagement na clout. Wala serikali ya China haina utaratibu wa kutolea majibu tetesi za uchochoroni. Video zote walizotoa watu ni za kipindi cha mgogoro wa Taiwan.

Dalili moja yenye mashiko ni cancellation ya flights nyingi ndani ya Beijing hapo juzi na jana. Tofauti na hapo hamna kingine.

Urusi uko Putin huwa anapotea anaenda hata Sochi au kwenye villa yake Black sea. Ila kwa sasa hakai mbali anafuatilia vita kwa karibu.

Facts hakuna. Ni habari za hisia tu
 
May be hii
 
Attachments

  • IMG-20220926-WA0005.jpg
    IMG-20220926-WA0005.jpg
    102.3 KB · Views: 11
Naamini Xi Jingpin yupo na hakuna mapinduzi. Niliachana mara moja kusoma habari za vyanzo vya Kihindi, kati ya nchi ina waandishi wabovu sana na wa mchongo India inaongoza. Hawakawii kuzusha habari ili kupata engagement na clout. Wala serikali ya China haina utaratibu wa kutolea majibu tetesi za uchochoroni. Video zote walizotoa watu ni za kipindi cha mgogoro wa Taiwan.

Dalili moja yenye mashiko ni cancellation ya flights nyingi ndani ya Beijing hapo juzi na jana. Tofauti na hapo hamna kingine.

Urusi uko Putin huwa anapotea anaenda hata Sochi au kwenye villa yake Black sea. Ila kwa sasa hakai mbali anafuatilia vita kwa karibu.

Facts hakuna. Ni habari za hisia tu
India Wana ugonvi wamipaka na Uchina.

Ndio sababu wameleta Hilo la Xi Jinping kupinduliwa
 
Igweeee. Jamani huko duniani taifa linaongoza kutoa simu za kila aina ya majina na michezo ya watoto, inasemekana jeshi limempinduwa kwa makosa ambayo bado hayajatajwa. Japo za kunyapia nyapia inasemekana mpango wa Urusi kutumia bomu la nyukilia limekuwa kitufe cha moto kwa washirika wake.

Taarifa zinasema kiongozi huyo kwa sasa yupo kwenye kifungo cha nyumbani.

Mnyapishaji anasema pia kwenye taifa la watoa gasi kwa wingi duniani, pia namba moja, amerekodi matukio na kutokomea kwenye misitu kusiko julikana.

Yaani kama kuna wakati majasusi wa Mossad, CIA na Mi6 wanafanya kazi, basi ni muda huu kuiepusha dunia na vita ya dunia.
Waondoke hao majaaa laana.
 
Nilimwambia hivi anakoelekea siko na Magu nikamwambia asipende kukitaja kifo same akafa. Kama kosa litakuwa umuulize Mungu huyu kijana wako wanamna gani mbona anachosema kinatokea. Nje ya hapo ur westing ur time.
Hizi story mpya kabisa unaleta muuaji mkubwa wewe.
 
Igweeee. Jamani huko duniani taifa linaongoza kutoa simu za kila aina ya majina na michezo ya watoto, inasemekana jeshi limempinduwa kwa makosa ambayo bado hayajatajwa. Japo za kunyapia nyapia inasemekana mpango wa Urusi kutumia bomu la nyukilia limekuwa kitufe cha moto kwa washirika wake.

Taarifa zinasema kiongozi huyo kwa sasa yupo kwenye kifungo cha nyumbani.

Mnyapishaji anasema pia kwenye taifa la watoa gasi kwa wingi duniani, pia namba moja, amerekodi matukio na kutokomea kwenye misitu kusiko julikana.

Yaani kama kuna wakati majasusi wa Mossad, CIA na Mi6 wanafanya kazi, basi ni muda huu kuiepusha dunia na vita ya dunia.
Mimi huwa siku bezi kihivyo!!"siri ya karatasi nyeupe"

Pia si tilii mkazo sana!!

Ninachojua nchi yetu inapitia mageuzi sana na kufiwa na Rais akiwa madarakani Ndio genesis ya mageuzi yenyewe!

Tusubiri!
 
India Wana ugonvi wamipaka na Uchina.

Ndio sababu wameleta Hilo la Xi Jinping kupinduliwa
Ukiachana kwamba wana ugomvi wa mipaka ila bado ni waandishi wabovu sana katika dunia hii. Sio suala la China tu, mbona majirani za China karibia wote wana ugomvi nae ila hawaandiki habari za ovyo.

Tatizo India ina watu wengi na habari za vichochoroni zinapewa engagement. Tovuti uchwara ya India kusomwa na watu milioni 100 ni jambo la kawaida. Yani movies zao zilivyo na uongo na habari zao ni za uongo.

Bora Pakistan huwa wanatukana na kudhihaki jambo la India ila kwingine wako sawa. Indian media ni mbovu tu
 
Back
Top Bottom