Tetesi: Habari zakutisha, Marais wawili wa mataifa makubwa kiuchumi hawajulikani walipo ila mmoja inasemekana kapinduliwa

Unaambiwa kinaganaga kwamba kuna balaa inaendelea China,unasema,"Ah,hao Wahindi. Usiwaamini Wahindi."
Hizi nadhani ndizo habari alizokuwa anatabiri yule Mbunge wa Ujerumani, alikuwa anaongea Bungeni, anasema,wiki ijayo, tarehe 24, September,litatokea jambo,kila mtu atakumbuka alikuwa wapi siku hiyo,anafanya nini.
 
Igweeee. Jamani huko duniani taifa linaongoza kutoa simu za kila aina ya majina na michezo ya watoto, inasemekana jeshi limempinduwa kwa makosa ambayo bado hayajatajwa. Japo za kunyapia nyapia inasemekana mpango wa Urusi kutumia bomu la nyukilia limekuwa kitufe cha moto kwa washirika wake.

Taarifa zinasema kiongozi huyo kwa sasa yupo kwenye kifungo cha nyumbani.

Mnyapishaji anasema pia kwenye taifa la watoa gasi kwa wingi duniani, pia namba moja, amerekodi matukio na kutokomea kwenye misitu kusiko julikana.

Yaani kama kuna wakati majasusi wa Mossad, CIA na Mi6 wanafanya kazi, basi ni muda huu kuiepusha dunia na vita ya dunia.
Ramli za kichawi hizi. Umefaidika nn kuleta hizi fix hapa JF?
 
Simuombei mabaya ila viongozi wababe wababe MUNGU awaone.
 
Igweeee. Jamani huko duniani taifa linaongoza kutoa simu za kila aina ya majina na michezo ya watoto, inasemekana jeshi limempinduwa kwa makosa ambayo bado hayajatajwa. Japo za kunyapia nyapia inasemekana mpango wa Urusi kutumia bomu la nyukilia limekuwa kitufe cha moto kwa washirika wake.

Taarifa zinasema kiongozi huyo kwa sasa yupo kwenye kifungo cha nyumbani.

Mnyapishaji anasema pia kwenye taifa la watoa gasi kwa wingi duniani, pia namba moja, amerekodi matukio na kutokomea kwenye misitu kusiko julikana.

Yaani kama kuna wakati majasusi wa Mossad, CIA na Mi6 wanafanya kazi, basi ni muda huu kuiepusha dunia na vita ya dunia.
Umeandika kama unakimbizwa
 
Back
Top Bottom