Tena alisimulia kwa ustadi hasa kuhusu chatu.Halafu siku hizi akigusiwa hilo jambo anakwepa.Bring back Ben Saa nane muuaji mkubwa wewe
Nilimwambia hivi anakoelekea siko na Magu nikamwambia asipende kukitaja kifo same akafa. Kama kosa litakuwa umuulize Mungu huyu kijana wako wanamna gani mbona anachosema kinatokea. Nje ya hapo ur westing ur time.Bring back Ben Saa nane muuaji mkubwa wewe
Kwa hiyo unataka kutueleza kwamba una kaupako na unabii?Nilimwambia hivi anakoelekea siko na Magu nikamwambia asipende kukitaja kifo same akafa. Kama kosa litakuwa umuulize Mungu huyu kijana wako wanamna gani mbona anachosema kinatokea. Nje ya hapo ur westing ur time.
Kila ubaya utalipwaBring back Ben Saa nane muuaji mkubwa wewe
India Wana ugonvi wamipaka na Uchina.Naamini Xi Jingpin yupo na hakuna mapinduzi. Niliachana mara moja kusoma habari za vyanzo vya Kihindi, kati ya nchi ina waandishi wabovu sana na wa mchongo India inaongoza. Hawakawii kuzusha habari ili kupata engagement na clout. Wala serikali ya China haina utaratibu wa kutolea majibu tetesi za uchochoroni. Video zote walizotoa watu ni za kipindi cha mgogoro wa Taiwan.
Dalili moja yenye mashiko ni cancellation ya flights nyingi ndani ya Beijing hapo juzi na jana. Tofauti na hapo hamna kingine.
Urusi uko Putin huwa anapotea anaenda hata Sochi au kwenye villa yake Black sea. Ila kwa sasa hakai mbali anafuatilia vita kwa karibu.
Facts hakuna. Ni habari za hisia tu
Umeolewa?Unapozuru wengine, Bwana huku kwetu usije kwanza.
Tunaogopa wenzio.
Waondoke hao majaaa laana.Igweeee. Jamani huko duniani taifa linaongoza kutoa simu za kila aina ya majina na michezo ya watoto, inasemekana jeshi limempinduwa kwa makosa ambayo bado hayajatajwa. Japo za kunyapia nyapia inasemekana mpango wa Urusi kutumia bomu la nyukilia limekuwa kitufe cha moto kwa washirika wake.
Taarifa zinasema kiongozi huyo kwa sasa yupo kwenye kifungo cha nyumbani.
Mnyapishaji anasema pia kwenye taifa la watoa gasi kwa wingi duniani, pia namba moja, amerekodi matukio na kutokomea kwenye misitu kusiko julikana.
Yaani kama kuna wakati majasusi wa Mossad, CIA na Mi6 wanafanya kazi, basi ni muda huu kuiepusha dunia na vita ya dunia.
Hizi story mpya kabisa unaleta muuaji mkubwa wewe.Nilimwambia hivi anakoelekea siko na Magu nikamwambia asipende kukitaja kifo same akafa. Kama kosa litakuwa umuulize Mungu huyu kijana wako wanamna gani mbona anachosema kinatokea. Nje ya hapo ur westing ur time.
Mimi huwa siku bezi kihivyo!!"siri ya karatasi nyeupe"Igweeee. Jamani huko duniani taifa linaongoza kutoa simu za kila aina ya majina na michezo ya watoto, inasemekana jeshi limempinduwa kwa makosa ambayo bado hayajatajwa. Japo za kunyapia nyapia inasemekana mpango wa Urusi kutumia bomu la nyukilia limekuwa kitufe cha moto kwa washirika wake.
Taarifa zinasema kiongozi huyo kwa sasa yupo kwenye kifungo cha nyumbani.
Mnyapishaji anasema pia kwenye taifa la watoa gasi kwa wingi duniani, pia namba moja, amerekodi matukio na kutokomea kwenye misitu kusiko julikana.
Yaani kama kuna wakati majasusi wa Mossad, CIA na Mi6 wanafanya kazi, basi ni muda huu kuiepusha dunia na vita ya dunia.
Ya ndoa tena ya nini kwani ?Umeolewa?
Ukiachana kwamba wana ugomvi wa mipaka ila bado ni waandishi wabovu sana katika dunia hii. Sio suala la China tu, mbona majirani za China karibia wote wana ugomvi nae ila hawaandiki habari za ovyo.India Wana ugonvi wamipaka na Uchina.
Ndio sababu wameleta Hilo la Xi Jinping kupinduliwa