Acheni kuleta ujuaji wakuu na kuleta ujenzi wa serikali.
Hiyo nyumba mpaka bati ni 20M,finishing utachagua mwenyewe material unayotaka.
Na kuna mazingira hata 15 unapiga bati hiyo nyumba.usipate stress za wajuzi wa vitabuni.ingekua hivyo watu wasingejenga
30m, kwa hiyo nyumba, inatosha na kubaki.Kwahiyo nyumba milioni 50 inaweza isitoshe labda kama atatumia materials cheap sana. Kuezeka tu hiyo paa inaweza kwenda mil 15
Upo sahihi sana. Nina project ndio inaenda hiviHuyu aliyekuambia 50 tena kakuonea aibu. Nyumba hii ni kubwa na finishing yake ni ya kisasa.
Hesabu za haraka haraka za finishing
Tiles kama nazoziona kibarazani ni imported = nyumba nzima utatumia kwenye 15m
Kuezeka bati grade safi = 15m
Madirisha ya aluminium = weka chini sana 5m
Milango nyumba nzima = weka 5m
Ukiweka AC (Mfano) , kila chumba na sebule = 7 to 9m
Tuseme nyumba from msingi ulisimamisha kwa 35m
Jumla ndogo: 47 + 35 = 82
Hiyo landscaping hapo nje, weka 5 to 15m (sijui ukubwa wa eneo husika)
Hapa hakuna plaster, skimming, wiring ya umeme, plumbing, vifaa vya maji, umeme n.k
(Nina uzoefu kwenye kusimamia miradi ya aina hii kwa mkoa wa Dar es Salaam, Tanzania).
Hiyo bei ya bati umetoa wapi. Yaani mita moja 13,000 then bati 100.30m, kwa hiyo nyumba, inatosha na kubaki.
Kupaua: hiyo 15m umeipataje?
Makadirio yangu:
1. Bati (romantile 28G) 100 x 40k = 4m
2. Mbao 2m
3. Fundi 1m
4. Misomari 200k
5. Contingency 1000k
Total 8.2m
Akitumia bati simba dumu, 5m inatosha sana
Inashangaza sana mkuu hizi hesabu wanapiga...mimi nilipanga kujenga nyumba,kwa hesabu za mdomoni mwa watu nilijua nitatumia 30 mpaka 50..Lakini kuingia site imeteketea zaidi ya mil 70...Mambo mengine kama ukuta imebidi niachane nayo. Nadhan ndio maana watu wengi wanakopa hela bank alafu wanajenga nyumba haziishi. Mtu anaambiwa hii nyumba milion 30 inaisha,kumbe kaingizwa chaka.Upo sahihi sana. Nina project ndio inaenda hivi
Hiyo bei ya bati umetoa wapi. Yaani mita moja 13,000 then bati 100.
Hizo mbao changanua, 4 by 2 ngapi na 2 by 2 ngapi na idadi na proce
usudanganywe na huyu fundi mkuu labda kam ni kiuswahiliniUko mkoa gani? Milioni 25 unajenga kabisa hiyo
Daaah πππππHii nyumba ni ya miaka ya vita ya Kagera!! Kanopi za zege?? Tafuta ramani inayoeleweka. Konakona kibao sizizo maana. Vyumba lukuki na havieleweki. Public Toilet imetazamana na dining room, jiko sijui ndo liko wapi??
Huu ni ujinga
Tupa kule
NdiyoEeh tutajenga kweli
Milion 50 sio mchezoNdiyo
Kidogo kidogo AuntMilion 50 sio mchezo
Mbona ndogo sanaMilion 50 sio mchezo
View attachment 2963464Habarini wakuu hivi hii nyumba inaweza gharimu sh ngapi mpaka finishings? Je inachukua tofali ngapi? Na kwa msingi (foundation) inaweza gharimu sh ngapi (ufundi+building materials). Msaada jamani nimechoka kuishi upangajini. Mimi ni kijana mpambanaji nipo mjini
Kuna wataalam wanaitwa "quantity surveyors" ndio wahusika wakuu wa kuchenjua gharama za ujenzi kuanzia mwanzo mpk mwisho wanakuandalia kitu kinaitwa "bills of Quantities" maarufu km BOQ na "schedule of materials" ktk hatua zote za ujenzi; however gharama za ujenzi zinaathiriwa na location ya site ilipo na eneo lilivyo (mlima au tambarare), aina ya udongo, uchaguzi wa materials na aina ya finishings utakayotaka. Hivyo ukiwapata Maqs ni rahisi kukupa proper cost planning ya jengo lako. Tumia wataalam husika ktk kila hatua. Cheap is expensiveView attachment 2963464Habarini wakuu hivi hii nyumba inaweza gharimu sh ngapi mpaka finishings? Je inachukua tofali ngapi? Na kwa msingi (foundation) inaweza gharimu sh ngapi (ufundi+building materials). Msaada jamani nimechoka kuishi upangajini. Mimi ni kijana mpambanaji nipo mjini daslam.
Bed 1 na Bed 2 wanatumia choo kimoja au naona vibaya?View attachment 2963464Habarini wakuu hivi hii nyumba inaweza gharimu sh ngapi mpaka finishings? Je inachukua tofali ngapi? Na kwa msingi (foundation) inaweza gharimu sh ngapi (ufundi+building materials). Msaada jamani nimechoka kuishi upangajini. Mimi ni kijana mpambanaji nipo mjini daslam.
What? Hiyo nyumba hadi finishing milioni 20 hadi 15? Hayo material unatengeneza mwenyewe. 50 yenyewe nina wasiwasi nayo isitosheAcheni kuleta ujuaji wakuu na kuleta ujenzi wa serikali.
Hiyo nyumba mpaka bati ni 20M,finishing utachagua mwenyewe material unayotaka.
Na kuna mazingira hata 15 unapiga bati hiyo nyumba.usipate stress za wajuzi wa vitabuni.ingekua hivyo watu wasingejenga