Habarini wakuu hivi nyumba kama hii inaweza gharimu sh ngapi hadi finishings?

Nyumba ukitaka kuuliza kiasi kitavyogharimu huwezi kujenga. Labda kama unayo cash tayari unataka kuelewana na mkandarasi.
Lakini vinginevyo wewe anza ujenzi tu. Hela iliyopo mpaka utakapoishia. Ukitaka kujua itagharimu kiasi gani utopotea kabisa. Ksbb makadirio yanaweza kuja tofauti kabisa
 
Kujenga ni gharama sana, ni uwezekezaji wa pesa nyingi

Kwa nyumba hiyo na finishing ya kisasa hivyo hata 50 inazidi, ila ukijenga zile za kikwetu kwetu aaah hata 10m inatosha kabisa, bei ya vifaa vya ujenzi viko juu hatari
 
Seriously umetoka mkandia jamaa ramani yake,huku zako
Ramani ya kwanza
  • Korido hazina Mwanga
  • Korido hazina hewa
  • Sebure ni ngumu mwanga kufika
  • Sebure lina dirisha la kuingilia hewa lakini hakuna la kutokea
  • Hiyo Milango ya kwenye Korido kazi yake ni ipi sasa,kulinda Jiko lisionekane...? Mana vyumba vyengine vyote vyaonekane
  • Nyumba ya vyumba vi3 vya kulala lakini kuna kona 18
  • Ndani movement ya kutoka Library mpaka Verandah ya jiko,mtu apige mikunjo kibao
RAMANI YA 2
  • Hii Ramani ya pili ni ume-download ,unabisha ?
  • Ramani ya floor ya kwenye apartment hii
  • Kuna madirisha mawili tu,,,no mwanga ,no hewa,yes giza,yes joto...
  • Shape ya Trapeza ,dah
Zitafakari tena ramani zako.
 
Dah
IMG-20240423-WA0026.jpg
 
Anza kujenga na pesa ulinayo ukiamza kupiga mahesabu ya hivyo hakika utapotea kabisa mimi ni fundi mtaalam kabisa hayo mambo najua vizuri pesa ikiisha subiri tafuta nyingine ujenzi ni polepole unless uwe na pesa ya kutosha kabisa... gharama za ujenzi na materials tu unayotumia mfano hapo ametumia kigae gharama zake acha kabisa unaweza kuta gharama tu za kigae ni 15 mpaka 20 ... Ujenzi ni polepole uwe na uhakika wa kipato tu
 
kweli
 
Back
Top Bottom