Village-in
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 2,184
- 4,517
Sio ndogo lakini kujenga inawezekana japo Kwa upandewangu ningejenga taratibu taratibuMbona ndogo sana
Seriously umetoka mkandia jamaa ramani yake,huku zakoChagua ramani tukujengeeView attachment 2965364View attachment 2965355View attachment 2965352View attachment 2965353View attachment 2965354View attachment 2965356View attachment 2965357View attachment 2965359View attachment 2965362View attachment 2965363View attachment 2965361View attachment 2965365
Labda kma ni hivo kidogo kidogo ila makadirio yanaogopesha sanaKidogo kidogo Aunt
DahSeriously umetoka mkandia jamaa ramani yake,huku zako
Ramani ya kwanza
RAMANI YA 2
- Korido hazina Mwanga
- Korido hazina hewa
- Sebure ni ngumu mwanga kufika
- Sebure lina dirisha la kuingilia hewa lakini hakuna la kutokea
- Hiyo Milango ya kwenye Korido kazi yake ni ipi sasa,kulinda Jiko lisionekane...? Mana vyumba vyengine vyote vyaonekane
- Nyumba ya vyumba vi3 vya kulala lakini kuna kona 18
- Ndani movement ya kutoka Library mpaka Verandah ya jiko,mtu apige mikunjo kibao
Zitafakari tena ramani zako.
- Hii Ramani ya pili ni ume-download ,unabisha ?
- Ramani ya floor ya kwenye apartment hii
- Kuna madirisha mawili tu,,,no mwanga ,no hewa,yes giza,yes joto...
- Shape ya Trapeza ,dah
kweliAnza kujenga na pesa ulinayo ukiamza kupiga mahesabu ya hivyo hakika utapotea kabisa mimi ni fundi mtaalam kabisa hayo mambo najua vizuri pesa ikiisha subiri tafuta nyingine ujenzi ni polepole unless uwe na pesa ya kutosha kabisa... gharama za ujenzi na materials tu unayotumia mfano hapo ametumia kigae gharama zake acha kabisa unaweza kuta gharama tu za kigae ni 15 mpaka 20 ... Ujenzi ni polepole uwe na uhakika wa kipato tu