Habib Halahala: Mwandishi wa habari wa Rais Nyerere na Rais Mwinyi aliyefariki kifo kibaya

...Picha alipoga Mwingine Ajali ilipotokea. Kwa kawaida Msafata wa Raisi una Wapiga Picha Wengi TU wa Magazeti. Wengine wanakuwa wameishatangulia na magari hio sehemu na hawapandi Ile Helicopter....
 
kwan kuna kifo kizuri???
 
...Picha alipoga Mwingine Ajali ilipotokea. Kwa kawaida Msafata wa Raisi una Wapiga Picha Wengi TU wa Magazeti. Wengine wanakuwa wameishatangulia na magari hio sehemu na hawapandi Ile Helicopter....
Panga liliohusika ni la mkiani hawezi kimbilia pale macho mbele wkt anaona hatari! na helikopta inaunguruma pia! siyo mjinga wa level hiyo!! Narudia tena alikuwa akirudi kinyume nyume wkt akitafuta ku focus picha vizuri!

hayo ya wengine hayahusiki,,,ktk hii!
 
Wengine wanakuwa wameishatangulia na magari
Hivi yale mafuriko unayajua au ulisimuliwa??? yaani miundo mbinu yooote ilikuwa chali! mbaya zaidi Madaraja ni usiombe kusimuliwa! kifupi hapakufikika km unavo dhania na

usafiri wa Mtwara kabla ya Mkapa kuwa Rais siyo km unavo dhania weye kijana mdogo hata kabla na baada ya mafuriko!! ilikuwa ivi sehemu ndogo tu hasa Bonde la rufiji/Nangurukuru mnaweza safiri mwezi .......

kifupi kwa mafuriko yale hawakuokota hata kipande cha lami!! njia pekee kufikika ilikuwa ni Helikopita! Na Delaya za ki-jeshi tuu!...uliza wamakonde wa kusini wazee wakwambie muziki wake!!

ilichukua miezi saba kukamilisha ile ishu yoote!! na mwinyi alikwenda immediately eneo la tukio! kwa kutumia hiyo!
 
Mkewe, amemkumbatia kifuani akiwa na yeye ana Mshituko Mkuu!
Acha bana wee!! kifuani kabisaaa kwa Mumewe!...sasa hadharani au........walijificha kidogo!...asa kilicho kusisimuawewe na ukadhania woote tulisismka pale ni nini? Mkuu? kati ya haya mawili??

bila shaka weye akili yako iliishia kwa hicho kitendo cha Sitti Mwinyi tu!....akakusissimua halafu!!!! lete uhondo...... jua kipindi kile Mama Sitti alikuwa mdogo
 
Enzo hizo rais alienda na mkewe kwenye mafuriko?
 
Enzo hizo rais alienda na mkewe kwenye mafuriko?
siyo mafuriko tu!! mpaka UNO Huko!! mzee alikuwa ana tinga wkt huo akiwa kijana kijana hivi!
 
Mmh! Nimepata shaka sana hapo kwenye Rais kukikamata kichwa na kupigwa nacho picha. (...?)


Msitutajie picha, tuonesheni picha!

"Tunataka na sisi tusisimke"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…