BabaDesi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2007
- 6,122
- 4,060
... Halikuwa Panga juu, lilikuwa like dogo la Njiani...!Naona helicopter za siku hizi panga zipo juu wameoona dosari hiyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
... Halikuwa Panga juu, lilikuwa like dogo la Njiani...!Naona helicopter za siku hizi panga zipo juu wameoona dosari hiyo
...Picha alipoga Mwingine Ajali ilipotokea. Kwa kawaida Msafata wa Raisi una Wapiga Picha Wengi TU wa Magazeti. Wengine wanakuwa wameishatangulia na magari hio sehemu na hawapandi Ile Helicopter....Weee!! mzee acha uongo!! japo ni kweli lkn tukio hilo halikuwa km unavyosema weye!!! ilikuwa hivi; wooote abiria akiwemo Rais na mkewe walikuwa wamesha shuka chini ya helikopita....
sasa yeye huyo mwandishi akataka kuchukua picha ya matukio flani ya tukio...........ameshikilia kamera yake kwa mbele hivi ......anarudi nyuma sasa ili apate focus nzuri!! kwa bahati mbaya sana
akawa amefikia usawa wa yale mapanga boi ya helikopita! yakamkata faster ... kumbuka ile helikopita haikuzima mpaka mwisho wa tukio!....
Mwinyi na Mama siti mwinyi walikuwa wanaangalia hilo tukio kwa msisimko mkubwa na picha ile ni hii hapa!! sasa swali km alikuwa wa kwanza kuteremka yeye Rais na Mkewe na wenginewe
walisisimuka vipi wkt bado wako ndani ya helikopita??
Nadhani alikuwa akirudi nyuma.... Halikuwa Panga juu, lilikuwa like dogo la Njiani...!
kwan kuna kifo kizuri???Habib Halahala alichaguliwa kuwa mwandishi wa habari na mpiga picha wa Rais Nyerere mwishoni mwa utawala wa Rais Nyerere kwenye miaka ya 1980.
Ilipofika mwaka 1985, Mwl Nyerere aling'atuka ofisini kama Rais wa kwanza wa Tanzania mara baada ya takribani miongo miwili na robo madarakani.
Habib Halahala aliendelea na majukumu yake ya uandishi wa habari katika awamu ya pili ya Rais Ali Hassan Mwinyi. Moja ya sifa ya yeye kuendelea ni uchapaji wake kazi mzuri uliomvutia Rais Mwinyi.
Mwanzoni mwa miaka 1990, Nchi ikakumbwa na mafuriko makubwa sana na kusababishaathari kubwa sana kwa wananchi hasa kusini mwa Tanzania.
Ikabidi Rais Mwinyi afanye ziara kuangalia athari hizo huku akitumia ziara hiyo kama sehemu ya kuwafariji wananchi waliokumbwa na kadhia ya mafuriko.
Siku ya ziara ilipofika, Rais Mwinyi alitumia usafiri wa helikopta, kuelekea kusini mwa Tanzania, katika msafara huo alikuwepo pia ndugu Habib Halahala. Walipofika eneo la tukio, Helikopta ilipotua tu, miongoni mwa watu wa mwanzo kushuka ni Habib Halahala, aliwahi kushuka ili kupiga picha ya Rais akishuka kwenye helikopta hiyo.
Bahati mbaya wakati anashuka panga za helikopta bado zilikuwa zinazunguka kwa kasi, bila kujua Habib Halahala hakuinamisha kichwa lile panga la helikopta likapita nae kwenye shingo. Akafariki kifo kibaya cha maumivu makubwa sana.
Nimeona niilete leo jukwaani kwa faida ya kizazi hiki ambao wengi wao hawamfahamu wala hawakuwahi kusikia tukio hilo...wasalaaam
Pia soma - Nini chanzo cha kifo cha Habibu Halahala aliyekuwa mpiga picha wa Hayati Mwalimu Nyerere?
Panga liliohusika ni la mkiani hawezi kimbilia pale macho mbele wkt anaona hatari! na helikopta inaunguruma pia! siyo mjinga wa level hiyo!! Narudia tena alikuwa akirudi kinyume nyume wkt akitafuta ku focus picha vizuri!...Picha alipoga Mwingine Ajali ilipotokea. Kwa kawaida Msafata wa Raisi una Wapiga Picha Wengi TU wa Magazeti. Wengine wanakuwa wameishatangulia na magari hio sehemu na hawapandi Ile Helicopter....
hata weye hujui sikia sasa alivo kufa alifariki kwa panga dogo la Halikopita!We elewa tu alifariki kwa helicopter
Hivi yale mafuriko unayajua au ulisimuliwa??? yaani miundo mbinu yooote ilikuwa chali! mbaya zaidi Madaraja ni usiombe kusimuliwa! kifupi hapakufikika km unavo dhania naWengine wanakuwa wameishatangulia na magari
Acha bana wee!! kifuani kabisaaa kwa Mumewe!...sasa hadharani au........walijificha kidogo!...asa kilicho kusisimuawewe na ukadhania woote tulisismka pale ni nini? Mkuu? kati ya haya mawili??Mkewe, amemkumbatia kifuani akiwa na yeye ana Mshituko Mkuu!
kipi icho????
Enzo hizo rais alienda na mkewe kwenye mafuriko?Weee!! mzee acha uongo!! japo ni kweli lkn tukio hilo halikuwa km unavyosema weye!!! ilikuwa hivi; wooote abiria akiwemo Rais na mkewe walikuwa wamesha shuka chini ya helikopita....
sasa yeye huyo mwandishi akataka kuchukua picha ya matukio flani ya tukio...........ameshikilia kamera yake kwa mbele hivi ......anarudi nyuma sasa ili apate focus nzuri!! kwa bahati mbaya sana
akawa amefikia usawa wa yale mapanga boi ya helikopita! yakamkata faster ... kumbuka ile helikopita haikuzima mpaka mwisho wa tukio!....
Mwinyi na Mama siti mwinyi walikuwa wanaangalia hilo tukio kwa msisimko mkubwa na picha ile ni hii hapa!! sasa swali km alikuwa wa kwanza kuteremka yeye Rais na Mkewe na wenginewe
walisisimuka vipi wkt bado wako ndani ya helikopita??
siyo mafuriko tu!! mpaka UNO Huko!! mzee alikuwa ana tinga wkt huo akiwa kijana kijana hivi!Enzo hizo rais alienda na mkewe kwenye mafuriko?
natural deathkipi icho????
kifo nikifo tu hakuna kifo kizurnatural death
kufa naturally kwa mfumo wa mwili kuzima ni tofauti na mtu akukate kiungo kimoja kimoja ,au akuchome moto taratibu mpaka kifokifo nikifo tu hakuna kifo kizur
Kumbe wewe ni kibabuNalikumbuka hili tukio tena kuna picha Alhaj Mwinyi kapigwa picha kashika kichwa kwa masikitiko picha ile ilikua kwny gazeti la Daily News