Kumbe Yericko Nyerere na makaratasi yake yale anayoyaita vitabu kama alivyosema Dkt Lwaitama anaibaiba huku na kule kazi za watu na kujifanya msomi wa mambo ya Ujasusi na mshauari wa Mbowe wa kumtukana ovyo Tundu Lissu.
Genge linalomuunga mkono Mbowe ni la watu wa ajabu ajabu sana ndio maana Leo Prof Safari na watu wengine wa maana wako wapi CHADEMA?
Eti Leo washauri wa Mwenyekiti Mbowe ni huyu Yericko, Boni Yai na Ntobi kweli chama Kiko ICU.
View attachment 3187554
View attachment 3187555
View attachment 3187556
View attachment 3187558
Mwandishi anatakiwa aseme kwamba hili andiko nimekwapua kutoka kwa mwandishi fulani, ndio uungwanaSasa kama hutaki wengine watumie maandishi yako maarifa yanawezaje kukua.
Habibi Hanga si kun thread ya kumtapeli mtu humu elfu 60.
Seeeking validation for bs..
Hizi ni public platforms na huna haki na chochote unachoandika humu au kwenye social media yeyote...
Hizo bla bla zao za kijinga toka vitabu vinauzwa vinaisha vinachapishwa vingine walikuwa wapi...
Siasa maji taka wanacheza.
Vijana wengi wa kitanzania ni mazuzu sana , unatumika na watu wachache kea manufaa yao... Wewe unabaki mbangaizaji tu.
Mwambieni waendelee kuimba wimbo wa Diaspora
Mkuu kuropoka ndio strategy ya mtu wao kuupata uwenyekiti. Sasa jiulize, vitabu vya Yericko Nyerere toka ameanza kuvitangaza ni lini? Yeye Habib B. Anga ni plagiarist number Moja. Niliwahi kumwambia huko Jamii Intelligence akaniblock maana nilimwekea hadi makala alizokopi akijifanya zake!Leo ndio mmejua Yericko ni kanjanja tu??
Haina ugumu, ukichukua una acknowledge tu kuwa source ni kitabu flani na mhusika.Definition ya plagiarism ni ngumu sana kuielewa.
kutumia maandishi sio tabu swala ni awe amekutaarifu na uridhie!, si vyema kutumia kitu cha mtu pasipo ruhusa yake!.. especially waandishi ni kula yao!Sasa kama hutaki wengine watumie maandishi yako maarifa yanawezaje kukua.
Unapaswa kuaknowledge ulikopata hayo maandishi.Sasa kama hutaki wengine watumie maandishi yako maarifa yanawezaje kukua.
mkuu wamekutapeli niniWote hawa ni matapeli
jaribu nawe uje utuuzie kama ni rahisi hivyoYericko ni takataka Tu kwenye uandishi huyu ni mjanja wa mjini Tu.
Sikuhizi hata mjinga anaweza kutunga kitabu Kwa Msaada wa Google na Wikipedia