Heavy Metal
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 881
- 2,077
Mwizi kaibiwa na Mwizi mwenzie, patamu hapo😁Naye huyo Habibu si anatuhuma za utapeli zipo humu??
Are flock together 😃😃🤣Huyo naye si alitapeli mtu humu? Birds of feath
Hiyo sauti ni ya Matojo, wakili ambaye Yeriko naye ame-copy kazi yake.Hii ndio sauti ya Habibu Anga?
Huyu Mwamba nilimkubali alivyoandika
Social Engineering, covid-19
Aah asanteHiyo sauti ni ya Matojo, wakili ambaye Yeriko naye ame-copy kazi yake.
Siyo kwa kupenda mkuu, alipokwa account na password zikabadilishwa.Habib B Anga ni mwandishi mzuri sana sema na yeye ana roho nyepesi sana hakuwa na sababu ya kukimbia Jf.
Wewe na huyo Lwaitama ni wapumbavu na wanafiki mnayasema haya leo wakati Yeriko hajayatoa leo.Kumbe Yericko Nyerere na makaratasi yake yale anayoyaita vitabu kama alivyosema Dkt Lwaitama anaibaiba huku na kule kazi za watu na kujifanya msomi wa mambo ya Ujasusi na mshauari wa Mbowe wa kumtukana ovyo Tundu Lissu.
Hafanyi acknowledgement ya source za taarifa zake. Angeweka footnotes za references kwa vitabu vya Habib na wengine alikonakiliDefinition ya plagiarism ni ngumu sana kuielewa.
Nyie kina Lillian hamtaki kusikia Mbowe kaguswa.Wewe mpuuzi, Mbowe ameingiaje hapa
Yupo humu kwa ID tofautiHabib B Anga ni mwandishi mzuri sana sema na yeye ana roho nyepesi sana hakuwa na sababu ya kukimbia Jf.
Ward ndiyo nini!?Kitabu kitawekwa faceboooku ?nenda basi kamnyanganye ward yake
Jamaa ni tapeli na anaishi kwa unjanja ujanja. Anza na jina la ''Nyerere'', ambalo amejipachika ili kuvuta attention za watu. Kwa kifupi iko hivi:Hata kile kitabu cha ujasusi wa kidola na kiuchumi, ukisoma vizuri utagundua makosa ya kiuandishi mengi tu. Ni kama alkua anakopi sentensi za kzungu kuja kiswahili sasa hzo tafsiri zenyewe ni kama unasoma lugha ngeni usioijua kabisa kumbe kiswahili.....lakini mbaka anauza vtabu mbaka viishe hawa walalamikaji walikua wapi??
Hivi vitabu ameuza sana hasa mitandaoni huko nadhani, kapiga hela sanaa tu huyu jamaa
Wewe ndio hauielewi, lakini sisi tunaielewa.Definition ya plagiarism ni ngumu sana kuielewa.
Hata kama angetaka, atawekaje footnotes kwa kitabu kizima? Huyu hata kuandika sentensi ya kiingereza iliyonyooka hawezi. Hivi ''vitabu'' vyake mbona ni wengi tu tunasema siku nyingi kuwa siyo vitabu bali ni muunganiko wa sentensi zilizokopiwa kutoka sehemu mbali mbali?Hafanyi acknowledgement ya source za taarifa zake. Angeweka footnotes za references kwa vitabu vya Habib na wengine alikonakili
Labda hujawahi kuandika vitabu, ila lazima ufanye citation ya unapotoa taarifa zako kwa ajili ya credibility na referencing. Kwahiyo hata uki copy social media lazima uweke link ya article.Hizi ni public platforms na huna haki na chochote unachoandika humu au kwenye social media yeyote...
Kama habibu na yeye kanakili sehemu? Maana mambo ambayo alikuwa anayaandika hayatoki kichwanu mwake kuna sehemu ameyapata. Ila kwa sababu wabongo wavivu kusoma jamaa wanatuburuza.Hafanyi acknowledgement ya source za taarifa zake. Angeweka footnotes za references kwa vitabu vya Habib na wengine alikonakili
Hujui?Ward ndiyo nini!?