Habibu Anga: Yericko Nyerere ameniibia makala zangu Facebook huyu dogo ni mweupe na hana Elimu yoyote kama kama ilivyo kwa Mbowe

Nilimdharau Yericko Nyerere pale alipoanzisha uzi humu jamiiforums akaanza kuchangia mwenyewe akijua kuwa amebadili ID kumbe bado inasomeka ileile aliyoanzishia uzi.

Toka siku hiyo sisomi chochote akiandikacho Yericko.
Yericko ni tapeli
 

Attachments

  • IMG-20241229-WA0010.jpg
    69.2 KB · Views: 4
  • IMG-20241229-WA0009.jpg
    54 KB · Views: 4
  • IMG-20241229-WA0008.jpg
    73.3 KB · Views: 4
Mwizi wa hela vs master of plagiarism. Ila ujasusi wa dola ya kiuchumi si jna marejeo 389🫠 ila plagiarism nakumbuka hata kuna mkuu wa chuo marekani nae walimbagaza kwa namna hii hii ya plagiarism hadi akajiuzuru.
 
Naona hujanielewa, hakuna kitu kipya in fact kwa sisi watafiti hauwezi publish article ila tu kila sentensi unayoandika lazima uweke reference umeisoma au umeitoa wapi. Meaning kunakili kunaruhusiwa ila lazima umtambulishe uliyenakili kwake.

Ila kueleza concept alafu ukajimilikisha wakati unajua sio wazo lako, ni makosa
 
Sahihi
 
Hio ni article na lazima uparaphrase au uandike ulivyoelewa ukikopi kama kilivyo lazima uweke funga na fungua semi. Hii ni tofauti kwa kitabu ambapo unaweka footnote(hata article pia waweza weka)au unaweka kweny reference. Zile direct and indirect citation kweny kitabu unakua ufanyi
 
Kajamaa kitabu chake kinauzwa kwa punguzo la bei mwaka mzima lazima uwe na shaka.

Yaani punguzo la kitabu litoke 80k to 35k !

Hapo ndio nilijua kuna shida.
 
Sasa mbowe anaingiaje hapo????
 
Yericko mnamsingizia. Huwa anapata taarifa kupitia intelligence cables, siyo mtu mwepesi mwepesi.
 
Leo ndio mmejua Yericko ni kanjanja tu??
Nilimjua huyu dogo ni mweupe alipochukua upande kwenye vita ya ukraini na urusi

Hakuwa na hoja alitanguliza ule ushabiki wa darasa la nne

Tulimuuliza Kuna tofauti Gani ya ubabe wa urusi dhidi ya ukraini na ubabe wa Ccm dhidi ya upinzani

Akabaki anatukana tu.

Wenye akili tukajua hamna kitu pale
Ni kwa vile upepo wa cdm uliwabeba vilaza wakaonekana Wana akili kuliko maccm


Mwingine ni boni yai yule nae hamna kitu kabisa mle.

Thx tu Lissie amewa expose na tumeweza kuwajua uwezo wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…