Habibu B. Anga (The Bold) Mungu akupe maisha marefu sana, afya njema pamoja na baraka tele. I sincerely appreciate your writings brother. All the best

Sina interest ya kuleta humu ndani ila jua na access nyingi tu za kupata hizo information zilizochambuliwa kwa kina zaidi mnazoleta humu ndani kwa wadau.
Basi kuwa Mpole. Sio kila mtu ana connection. Ndio maana hata Wananchi wa wanawakilishi bungeni..
 
Sote Tupo hapa Jamiiforums kupashana habari/kufundishana/kujulishana na sio kuumbuana/kukomoana/kuzodoana
Hakuna mtu aliyemzodoa zaidi ya watu kuhoji mbona amekuwa muongo kupitiliza. Maana baada ya kuleta simulizi yake (sehemu ya kwanza) alisema sehemu ya pili itatoka jumatatu lakni haikuwa hivyo. Angekuwa muungwana hata kama kapata dharula angekuja kutia neno kuliko kukaa kimya, ndio maana baadhi ya watu wamemjia juu kuhoji kulikoni.
 
Ni simulizi unalalamika kama umepigwa moyo uankosa Mapigo ya Moyo. Uliza napataje muendelezo wa Simulizi
 
Amina
 
Kama ana refer kwenye google tatizo liko wapi,humu kila mtu ana level yake ya kielimu,wengine kingereza kinapanda,wengine cha kuungaunga,wengine cha kuombea maji na wengine hawajui kabisa kingereza ,sasa kama anatokea mtu anawasimulia maswala kama haya sioni makosa.

Hata kama ukiwa mtu wa kusoma sana,ila huwezi ukasoma kila kitu so kupitia watu kama kawa wanakuongezea kitu hata kama kacopy kutoka kwenye Google.Ila si shangai hii ndio JF kuna watu wapo kwa ajili ya Ku-discourage watu cha msingi ni kuwapuuza kama WAPUUZI wengine.
 
Kiukweli panoja na hongera ila huyu mwamba now days anaboa kwa hii staili yake ya kudondosha madini yake hapa...

Unakuta ameshaandika muda mrefu lakini anapost hapa kwa mafungu mafungu hali ambayo binafsi kwangu na pengine baadhi ya wadau hapa tumekuwa hatuenjoy mtiririko mzuri...

Namshauri kama anapitia hapa aangalie namna nzuri ya kupost bila kuboa..kunakipindi alikuwa akipost anarudi page ya kwanza anaweka link ya next post number kitu ambacho kilikuwa kizuri mnoo..hata kwa MTU mpya ambaye anamfuatilia..nashauri arudie utaratibu huu ni mzuri mnoo..

Asante.

Cc Habibu B. Anga
 
Nawewe nakiri then ucheze na Google halafu tutupie tupate madini sio mnapondaponda wakati nyinyi wenyewe hamna faida na JF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…