Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Ndugu zangu Watanzania huyu Habibu B. Anga (The Bold) Mungu ampe maisha marefu sana, afya njema pamoja na baraka tele. I sincerely appreciate his writings here on JF. I wish him all the best.
Ninapenda kutumia wasaa huu kutuma salama zangu za pongezi pamoja na heartfelt appreciation kwa ndugu yangu
Habibu B. Anga kwa makala zake nzuri sana humu JF ambazo honestly nimekuwa nikijifunza mambo mengi sana mema na mazuri ambayo nilikuwa sijawahi kuyafahamu hapo kabla.
Mimi pia ni muandishi wa makala kule jukwaa la Jamii Intelligence ila
Habibu B. Anga anajua sana kusimulia na kupangilia story zake. Kwa kweli ananikosha sana.
Mkuu, endelea kutupa ladha pasipo kuchoka.
Long live Habibu. Long live JamiiForums.