Hachafuliki: Tunampenda Rais Dikteta na Kichaa Aliyefanya haya

AFRIKA INA HITAJI MARAIS MADIKTETA KAMA ALIVYOKUWA MAGUFULI!

MAJITU MEUSI BILA KUWA KATIRI WA KIROHO NA KIMWILI NI NGUMU SANA KUYAONGOZA!

MAGUFULI ALIPASWA KUONGOZA MIAKA BUKU ILI MIAFRIKA YENYE LAANA INYOOKE
 
Mungu akubariki na kukulinda! Huu ndio ukweli!
Naongezea!
13. Alikuta nchi haina ulinzi wa anga, akanunua radar zaidi ya nane kulinda anga yoote ya Tanzania
14. Alikuta masikini ambao wasingeweza kumudu kuingiza umeme kwenye nyumba na vijiji vyao kawapelekea na kuwaingizia umeme bure kwa kulipa 27,000/=
15. Alikuta michango kichefuchefu shule za msingi hadi sekondari akafuta michango yoote na ada zote ili watanzania wafurahie rasilimali za nchi zao. Mpaka sasa ninashuhuda matajiri watoto wao wanasoma shule za serikali form 5 hadi 6
16. ....
 
In life make sure u avoid the so called FALACY OF GENERALIZATION... hata mme wako anaweza kuwa hayupo pamoja na ww...
 
Hakuna raisi asiyemwaga damu, nitajie ni raisi yupi toka Nyerere hadi Samia hajawahi kumwaga damu za watu. Unadhani kuongoza nchi ni sawa na kuiongoza familia yako ya watu watano?
Huyu alizidi ndo mwasisi wa wasiojulikana
 
Hayo yooote hayampi tiketi ya kuua na kudhuru wengine.
 
Yote hayo angeyafanya bila ukakasi au makondo kando ya anayotuhumiwa nayo- ameyataka mwenyewe na wengine pia wajifunze. Kaburi sio kimbilo la R.I.P- ni kimbilio la kukaa humo, huku walio hai wakikuchoma na maneno makari sana bila ya wewe kujitetea, kitu ambacho ungeweza kufanya wakati wa uhai wako.
 
Tunampenda/Tutampenda/ yaan HAPA KAZI TU ilikua ni bonge la slogan ever..

Enzi izo mpaka safari za nje canceled ✖️ ❌
Mambo ya chai 😁 semina/ warsha canceled ❌ ✖️

Alisafisha safishaa balaaa Bado vyeti FEKI 🏃🏃🏃

Mtu mmoja anaingia kwenye bodi mpaka 5 na ana sign mamilioni..

Dili..mtu anamiliki nyumba mpaka 90...anahonga ma IST..Anasafiri nje mpaka familia Ina m miss mpaka Ina m miss place kwenda ulaya kuliko kijijini kwao..

Alionyeshwa kompyuta mbovu alipo fanya ziara ya kushitukizaa BANDARINI 😊😊 aka lala nao mbeleee

Mazuri ya JPM ni mengi Sanaa ALIJIPUNGUZIA MPAKA MSHAHARA WAKEE MWENYEWE..

MAGUFURI ALIKUA NI MTU WA PEKEE SANAA SHOW ALIYO WAPA MPAKA SASA INAWALEVYA

MAGUFURI alipinga ushoga na shisha na vilainishi...watetea mashogaaa wakanunaa..

FOR ALL HATERS 😤
 
Magufuli hana mshindani, na huwezi kumkwepa.. n
 
Hayo yooote hayampi tiketi ya kuua na kudhuru wengine.
Ili wananchi milioni 60 waweze kuishi kwa amani ni lazima wasiokuwa na upendo na nchi wafe. Uingereza ili prince Diana, kwa kuwa alitaka kuolewa na mwarabu
Waarabu walimua Mwandishi wa habari Kashoki kulinda Taifa Lao. Hivyo hakuna uongozi unaochekea upumbavu.
Okay, wewe unaangalia mambaya mbona husifii mazuri km SGR, Bwana la Umeme na miradi mingine ya kimkakati?
 
Watamsiliba wawezavyo lakini kazi aliyoifanya ni ya kutukuka sana.
 
Hii ni kampeni ya October 2025. Tutasikia mengi Sana ili Samia aonekane ana unafuu, mwema, muadilifu. JPM anatumiwa kama ngazi na awamu hii ya sita.

Huyu makamu na genge lake waliokuwa wanavujisha siri za kila aina kwa kigogo, mange wangekaa kimya miaka mitatu wakijua haya?

Mmejaribu kila kitu. Malizieni kwamba alibaka wanawake, watoto, wazee na wapinzani wake ikulu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…