Hachafuliki: Tunampenda Rais Dikteta na Kichaa Aliyefanya haya

Udikteta ndiyo uongozi bora duniani.

Hata Putin hataki kujihusisha na Uongozi wa Stalin. Warusia hawataki kuusikia. Wajerumani pia. Italy wameufuta kwenye history yao. Shuleni hawafundishwi hiyo history. Spain hawataki kusikia hiyo kitu.

What are you talking about... au huu udikteta Uchwarwa wa Tanzania. You can't be serious. Kama ungekuwa mzuri basi North Korea na Cuba wangekuwa happy.
 
1. Alikuta marais wenye akili wameua shirika la ndege, yeye akalifufua na kununua ndege 11 tena kwa cash. Huyu ni kichaa mzuri.

2. Alikuta wenye akili wameshindwa kuja na suluhu ya kudumu ya tatizo la umeme. Kichaa huyu akajenga Bwawa la Mwl Nyerere.

3. Alikuta maelfu ya watumishi hewa na matapeli waliokuwa na vyeti feki. Kichaa akawatembezea rungu, wakaanguka chalii.

4. Alikuta Reli yakati ikiwa hoi bin taaban baada ya marais wenye akili kushindwa kuiendesha. Kichaa akaanza kujenga reli ya SGR ili wenye akili wasafiri kwa raha.

5. Alikuta changamoto kubwa ya foleni Dar baada ya wenye akili kusema kuwa foleni ni kipimo cha maendeleo. Kichaa akajenga Kijazi, Mfugale na Tanzanite ili wenye akili wawahi kufika waendapo.

6. Alikuta wenye akili wanaendelea kuendesha serikali yenye ofisi Dar wakati makao makuu ni Dodoma. Kichaa akawahamishia wote Dodoma kwa lazima na kuanzisha ujenzi wa mji wa serikali.

7. Alikuta wenye akili wanatumia ikulu waliyojengewa na wakoloni, Kichaa akaamua kujenga ikulu mpya Chamwino tena ikajengwa na Wanajeshi wazalendo.

8. Alikuta huduma mbovu za Afya. Kichaa akajenga Hospitali kubwa za kanda Njombe, Mtwara, Mara na Geita + Hospitali za rufaa 67 na vituo vya Afya 1000+. Huyu kweli alikuwa chizi.

9. Alikuta watumishi wa Umma na Matajiri wanaishi kwa mazoea na kuwadharau raia wenye hali duni. Kichaa akafanya matajiri wawaogope na kuwaheshimu maskini vibaya mno.

10. Alikuta wenye akili wanatumia saa kadhaa toka Kigongo kwenda Busisi akawajengea daraja wapite fasta.

11. Alikuta tatizo kubwa sana la maji mkoani Arusha, akawajengea wajanga wa R chuga mradi wa bilioni 500 sahivi lema anaogelea tu huku anamtukana kichaa.

12. Alipanua bandari zote na kusisitiza kuwa tunaweza kutumia akili zetu kuziendesha kwa ufanisi lakini wenye akili wakasema sisi hatuwezi wakawapa waarabu na lile tapeli la India linalotafutwa na Marekani, yes lile lililofukuzwa hapo Kenya.

13. Kichaa aliyevunja mikataba ya kitapeli na makampuni yanayotuibia rasilimali za nchi na kuzuia usafirishaji wa makinikia mpaka mafisadi wakapanda ndege kuja kukubaliana upya na kufikia win-win situation.

14. Hili chizi halikwenda kuwaabudu wazungu na kuombaomba, liliwaambia wazungu kuwa SISI NI MATAJIRI njooni mezani matajiri tujadiliane namna ya kufaidiana, wazungu wakaja na private jet kukutana na kichaa ili kuyajenga.

15. Likichaa lilikuta vijiji 2000 tu ndiyo vinapata huduma ya umeme, lenyewe likasambaza vijiji vipya 8000+ na likasambaza bila kuruka mitaa kama walivyofanya wenye akili. Hakika hili lilikuwa chizi.

Huyu ni kichaa mzuri, naam Kichaa wa nguvu.

Hapo sijazungumzia barabara, meli n.k
Mara nyingi, wananchi huchagua viongozi wanaofanana nao tokana na ukweli kuwa wote ni matokeo na sura ya jamii husika. Ukimuona Magu, unawaona Watanganyika. Ukimuona huyu wa sasa sijui kwini sijui mama chawa sijui, unaona wazenji na jamiia ambayo ilipitia na kutokana na utumwa wa aina fulani.
 
1. Alikuta marais wenye akili wameua shirika la ndege, yeye akalifufua na kununua ndege 11 tena kwa cash. Huyu ni kichaa mzuri.

2. Alikuta wenye akili wameshindwa kuja na suluhu ya kudumu ya tatizo la umeme. Kichaa huyu akajenga Bwawa la Mwl Nyerere.

3. Alikuta maelfu ya watumishi hewa na matapeli waliokuwa na vyeti feki. Kichaa akawatembezea rungu, wakaanguka chalii.

4. Alikuta Reli yakati ikiwa hoi bin taaban baada ya marais wenye akili kushindwa kuiendesha. Kichaa akaanza kujenga reli ya SGR ili wenye akili wasafiri kwa raha.

5. Alikuta changamoto kubwa ya foleni Dar baada ya wenye akili kusema kuwa foleni ni kipimo cha maendeleo. Kichaa akajenga Kijazi, Mfugale na Tanzanite ili wenye akili wawahi kufika waendapo.

6. Alikuta wenye akili wanaendelea kuendesha serikali yenye ofisi Dar wakati makao makuu ni Dodoma. Kichaa akawahamishia wote Dodoma kwa lazima na kuanzisha ujenzi wa mji wa serikali.

7. Alikuta wenye akili wanatumia ikulu waliyojengewa na wakoloni, Kichaa akaamua kujenga ikulu mpya Chamwino tena ikajengwa na Wanajeshi wazalendo.

8. Alikuta huduma mbovu za Afya. Kichaa akajenga Hospitali kubwa za kanda Njombe, Mtwara, Mara na Geita + Hospitali za rufaa 67 na vituo vya Afya 1000+. Huyu kweli alikuwa chizi.

9. Alikuta watumishi wa Umma na Matajiri wanaishi kwa mazoea na kuwadharau raia wenye hali duni. Kichaa akafanya matajiri wawaogope na kuwaheshimu maskini vibaya mno.

10. Alikuta wenye akili wanatumia saa kadhaa toka Kigongo kwenda Busisi akawajengea daraja wapite fasta.

11. Alikuta tatizo kubwa sana la maji mkoani Arusha, akawajengea wajanga wa R chuga mradi wa bilioni 500 sahivi lema anaogelea tu huku anamtukana kichaa.

12. Alipanua bandari zote na kusisitiza kuwa tunaweza kutumia akili zetu kuziendesha kwa ufanisi lakini wenye akili wakasema sisi hatuwezi wakawapa waarabu na lile tapeli la India linalotafutwa na Marekani, yes lile lililofukuzwa hapo Kenya.

13. Kichaa aliyevunja mikataba ya kitapeli na makampuni yanayotuibia rasilimali za nchi na kuzuia usafirishaji wa makinikia mpaka mafisadi wakapanda ndege kuja kukubaliana upya na kufikia win-win situation.

14. Hili chizi halikwenda kuwaabudu wazungu na kuombaomba, liliwaambia wazungu kuwa SISI NI MATAJIRI njooni mezani matajiri tujadiliane namna ya kufaidiana, wazungu wakaja na private jet kukutana na kichaa ili kuyajenga.

15. Likichaa lilikuta vijiji 2000 tu ndiyo vinapata huduma ya umeme, lenyewe likasambaza vijiji vipya 8000+ na likasambaza bila kuruka mitaa kama walivyofanya wenye akili. Hakika hili lilikuwa chizi.

Huyu ni kichaa mzuri, naam Kichaa wa nguvu.

Hapo sijazungumzia barabara, meli n.k
May his soul rest in peace....vizuri havidumu, Mungu ana siri kubwa sana hapa
 
Pumzika Mahala Pema hayati Jemedari Chuma John Joseph Pombe Magufuli. Huu uzi umefanya niongeze bia moja kukukumbuka Kamanda. Pumzika Salama
 
Nakujibu kama ifuatavyo huku nikinukuu maelezo yako;

1. Alikuta marais wenye akili wameua shirika la ndege, yeye akalifufua na kununua ndege 11 tena kwa cash. Huyu ni kichaa mzuri.

- Hapa unafahamu kuwa shiriki limeendeshwa na linaendelea kuendeshwa kwa hasara hadi sasa..!!! Hivyo maamuzi yake yametutia hasara kubwa.

2. Alikuta wenye akili wameshindwa kuja na suluhu ya kudumu ya tatizo la umeme. Kichaa huyu akajenga Bwawa la Mwl Nyerere.

- Madhara ya kimazingira ni makubwa mno. Mojawapo ni yale mafuriko ya rufiji. Bwawa lilinusurika kubomoka kisa uwingi wa maji, ikabidi yafunguliwe.

Hapa na wewe nakuuliza, unajuwa ni majenereta mangapi yameshawa na yanatembe hadi sasa? Unajua kuwa kuna mgao wa kimya kimya hadi sasa?

3. Alikuta maelfu ya watumishi hewa na matapeli waliokuwa na vyeti feki. Kichaa akawatembezea rungu, wakaanguka chalii.

- Hapa alifeli kabisa. Kufukuza watu huku bajeti ya mishara ilibaki vile vileunadhani aliokoa nini?

4. Alikuta Reli yakati ikiwa hoi bin taaban baada ya marais wenye akili kushindwa kuiendesha. Kichaa akaanza kujenga reli ya SGR ili wenye akili wasafiri kwa raha.

- Hapa nakubaliana na wewe

5. Alikuta changamoto kubwa ya foleni Dar baada ya wenye akili kusema kuwa foleni ni kipimo cha maendeleo. Kichaa akajenga Kijazi, Mfugale na Tanzanite ili wenye akili wawahi kufika waendapo.

- Imepunguza foleni??? Hapa amefanikiwa kwenye kuliremba jiji lakini siyo kupunguza foleni.

6. Alikuta wenye akili wanaendelea kuendesha serikali yenye ofisi Dar wakati makao makuu ni Dodoma. Kichaa akawahamishia wote Dodoma kwa lazima na kuanzisha ujenzi wa mji wa serikali.

- Unajua athari yake kwa UDOM? kuhamia kulifanywa kwa kukurupuka. Ofisi zote zilikuwa na zipo UDOM. Madhara kwa elimu ni makubwa pale UDOM

7. Alikuta wenye akili wanatumia ikulu waliyojengewa na wakoloni, Kichaa akaamua kujenga ikulu mpya Chamwino tena ikajengwa na Wanajeshi wazalendo.

- Hapa nakubaliana na wewe, lakini nani anakaa pale?

8. Alikuta huduma mbovu za Afya. Kichaa akajenga Hospitali kubwa za kanda Njombe, Mtwara, Mara na Geita + Hospitali za rufaa 67 na vituo vya Afya 1000+. Huyu kweli alikuwa chizi.

- Umeshawahi ona impact ya hozpitali hizo? Hizo hospitali zilikuwepo hata hapo kabla, siyo mpya. Zimebadilishwa HADHI bilakuboresha huduma.

9. Alikuta watumishi wa Umma na Matajiri wanaishi kwa mazoea na kuwadharau raia wenye hali duni. Kichaa akafanya matajiri wawaogope na kuwaheshimu maskini vibaya mno.

- Si kweli. hapa aliweza tu kuwaaminisha watu kuwa umasikini ndo uzalendo.

10. Alikuta wenye akili wanatumia saa kadhaa toka Kigongo kwenda Busisi akawajengea daraja wapite fasta.

- Sawa

11. Alikuta tatizo kubwa sana la maji mkoani Arusha, akawajengea wajanga wa R chuga mradi wa bilioni 500 sahivi lema anaogelea tu huku anamtukana kichaa.

- Hili sina uhakika

12. Alipanua bandari zote na kusisitiza kuwa tunaweza kutumia akili zetu kuziendesha kwa ufanisi lakini wenye akili wakasema sisi hatuwezi wakawapa waarabu na lile tapeli la India linalotafutwa na Marekani, yes lile lililofukuzwa hapo Kenya.

- Baada ya upanuzi, kumeongezeka mizigo?

13. Kichaa aliyevunja mikataba ya kitapeli na makampuni yanayotuibia rasilimali za nchi na kuzuia usafirishaji wa makinikia mpaka mafisadi wakapanda ndege kuja kukubaliana upya na kufikia win-win situation.

- Tumelipishwa mihela kibao kisa uvunjwaji wa mikataba bila kufuata taratibu. Ametutia hasara kubwa sana kwenye hili, ikiwemo kukamatwa mara kwa mara kwa ndege zetu

14. Hili chizi halikwenda kuwaabudu wazungu na kuombaomba, liliwaambia wazungu kuwa SISI NI MATAJIRI njooni mezani matajiri tujadiliane namna ya kufaidiana, wazungu wakaja na private jet kukutana na kichaa ili kuyajenga.

- Nini kilifuata baada ya hapo? Huoni kuwa we went back to square one wakati akiwepo?

15. Likichaa lilikuta vijiji 2000 tu ndiyo vinapata huduma ya umeme, lenyewe likasambaza vijiji vipya 8000+ na likasambaza bila kuruka mitaa kama walivyofanya wenye akili. Hakika hili lilikuwa chizi.

- Hili linahitaji utafiti. hayo maandishi kwenye makaratasi yana uwongo mwingi sana
 
1. Alikuta marais wenye akili wameua shirika la ndege, yeye akalifufua na kununua ndege 11 tena kwa cash. Huyu ni kichaa mzuri.

2. Alikuta wenye akili wameshindwa kuja na suluhu ya kudumu ya tatizo la umeme. Kichaa huyu akajenga Bwawa la Mwl Nyerere.

3. Alikuta maelfu ya watumishi hewa na matapeli waliokuwa na vyeti feki. Kichaa akawatembezea rungu, wakaanguka chalii.

4. Alikuta Reli yakati ikiwa hoi bin taaban baada ya marais wenye akili kushindwa kuiendesha. Kichaa akaanza kujenga reli ya SGR ili wenye akili wasafiri kwa raha.

5. Alikuta changamoto kubwa ya foleni Dar baada ya wenye akili kusema kuwa foleni ni kipimo cha maendeleo. Kichaa akajenga Kijazi, Mfugale na Tanzanite ili wenye akili wawahi kufika waendapo.

6. Alikuta wenye akili wanaendelea kuendesha serikali yenye ofisi Dar wakati makao makuu ni Dodoma. Kichaa akawahamishia wote Dodoma kwa lazima na kuanzisha ujenzi wa mji wa serikali.

7. Alikuta wenye akili wanatumia ikulu waliyojengewa na wakoloni, Kichaa akaamua kujenga ikulu mpya Chamwino tena ikajengwa na Wanajeshi wazalendo.

8. Alikuta huduma mbovu za Afya. Kichaa akajenga Hospitali kubwa za kanda Njombe, Mtwara, Mara na Geita + Hospitali za rufaa 67 na vituo vya Afya 1000+. Huyu kweli alikuwa chizi.

9. Alikuta watumishi wa Umma na Matajiri wanaishi kwa mazoea na kuwadharau raia wenye hali duni. Kichaa akafanya matajiri wawaogope na kuwaheshimu maskini vibaya mno.

10. Alikuta wenye akili wanatumia saa kadhaa toka Kigongo kwenda Busisi akawajengea daraja wapite fasta.

11. Alikuta tatizo kubwa sana la maji mkoani Arusha, akawajengea wajanga wa R chuga mradi wa bilioni 500 sahivi lema anaogelea tu huku anamtukana kichaa.

12. Alipanua bandari zote na kusisitiza kuwa tunaweza kutumia akili zetu kuziendesha kwa ufanisi lakini wenye akili wakasema sisi hatuwezi wakawapa waarabu na lile tapeli la India linalotafutwa na Marekani, yes lile lililofukuzwa hapo Kenya.

13. Kichaa aliyevunja mikataba ya kitapeli na makampuni yanayotuibia rasilimali za nchi na kuzuia usafirishaji wa makinikia mpaka mafisadi wakapanda ndege kuja kukubaliana upya na kufikia win-win situation.

14. Hili chizi halikwenda kuwaabudu wazungu na kuombaomba, liliwaambia wazungu kuwa SISI NI MATAJIRI njooni mezani matajiri tujadiliane namna ya kufaidiana, wazungu wakaja na private jet kukutana na kichaa ili kuyajenga.

15. Likichaa lilikuta vijiji 2000 tu ndiyo vinapata huduma ya umeme, lenyewe likasambaza vijiji vipya 8000+ na likasambaza bila kuruka mitaa kama walivyofanya wenye akili. Hakika hili lilikuwa chizi.

Huyu ni kichaa mzuri, naam Kichaa wa nguvu.

Hapo sijazungumzia barabara, meli n.k
Mwamba aliijenga nchi na kutuletea heshima watanzania. Mapa mataifa mengine yakawa yanaiga kwetu. Alifanya mambo makubwa sana. Wanaomchafua ni WAPUMBAVU KABISA! Na wanafiki!
 
Back
Top Bottom