Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
100%1. Alikuta marais wenye akili wameua shirika la ndege, yeye akalifufua na kununua ndege 11 tena kwa cash. Huyu ni kichaa mzuri.
2. Alikuta wenye akili wameshindwa kuja na suluhu ya kudumu ya tatizo la umeme. Kichaa huyu akajenga Bwawa la Mwl Nyerere.
3. Alikuta maelfu ya watumishi hewa na matapeli waliokuwa na vyeti feki. Kichaa akawatembezea rungu, wakaanguka chalii.
4. Alikuta Reli yakati ikiwa hoi bin taaban baada ya marais wenye akili kushindwa kuiendesha. Kichaa akaanza kujenga reli ya SGR ili wenye akili wasafiri kwa raha.
5. Alikuta changamoto kubwa ya foleni Dar baada ya wenye akili kusema kuwa foleni ni kipimo cha maendeleo. Kichaa akajenga Kijazi, Mfugale na Tanzanite ili wenye akili wawahi kufika waendapo.
6. Alikuta wenye akili wanaendelea kuendesha serikali yenye ofisi Dar wakati makao makuu ni Dodoma. Kichaa akawahamishia wote Dodoma kwa lazima na kuanzisha ujenzi wa mji wa serikali.
7. Alikuta wenye akili wanatumia ikulu waliyojengewa na wakoloni, Kichaa akaamua kujenga ikulu mpya Chamwino tena ikajengwa na Wanajeshi wazalendo.
8. Alikuta huduma mbovu za Afya. Kichaa akajenga Hospitali kubwa za kanda Njombe, Mtwara, Mara na Geita + Hospitali za rufaa 67 na vituo vya Afya 1000+. Huyu kweli alikuwa chizi.
9. Alikuta watumishi wa Umma na Matajiri wanaishi kwa mazoea na kuwadharau raia wenye hali duni. Kichaa akafanya matajiri wawaogope na kuwaheshimu maskini vibaya mno.
10. Alikuta wenye akili wanatumia saa kadhaa toka Kigongo kwenda Busisi akawajengea daraja wapite fasta.
11. Alikuta tatizo kubwa sana la maji mkoani Arusha, akawajengea wajanga wa R chuga mradi wa bilioni 500 sahivi lema anaogelea tu huku anamtukana kichaa.
12. Alipanua bandari zote na kusisitiza kuwa tunaweza kutumia akili zetu kuziendesha kwa ufanisi lakini wenye akili wakasema sisi hatuwezi wakawapa waarabu na lile tapeli la India linalotafutwa na Marekani, yes lile lililofukuzwa hapo Kenya.
13. Kichaa aliyevunja mikataba ya kitapeli na makampuni yanayotuibia rasilimali za nchi na kuzuia usafirishaji wa makinikia mpaka mafisadi wakapanda ndege kuja kukubaliana upya na kufikia win-win situation.
14. Hili chizi halikwenda kuwaabudu wazungu na kuombaomba, liliwaambia wazungu kuwa SISI NI MATAJIRI njooni mezani matajiri tujadiliane namna ya kufaidiana, wazungu wakaja na private jet kukutana na kichaa ili kuyajenga.
Huyu ni kichaa mzuri, naam Kichaa wa nguvu.
Hapo sijazungumzia barabara, meli n.k
Alaaniwe Kabendera huyu mkimbizi wa kinyarwanda mwenye ujasiri kuleta fitna dhidi ya kiongozi aliyebaki mioyoyoni mwa watanzani kwa namna alivyoongoza kwa uzuri nchi yao.1. Alikuta marais wenye akili wameua shirika la ndege, yeye akalifufua na kununua ndege 11 tena kwa cash. Huyu ni kichaa mzuri.
2. Alikuta wenye akili wameshindwa kuja na suluhu ya kudumu ya tatizo la umeme. Kichaa huyu akajenga Bwawa la Mwl Nyerere.
3. Alikuta maelfu ya watumishi hewa na matapeli waliokuwa na vyeti feki. Kichaa akawatembezea rungu, wakaanguka chalii.
4. Alikuta Reli yakati ikiwa hoi bin taaban baada ya marais wenye akili kushindwa kuiendesha. Kichaa akaanza kujenga reli ya SGR ili wenye akili wasafiri kwa raha.
5. Alikuta changamoto kubwa ya foleni Dar baada ya wenye akili kusema kuwa foleni ni kipimo cha maendeleo. Kichaa akajenga Kijazi, Mfugale na Tanzanite ili wenye akili wawahi kufika waendapo.
6. Alikuta wenye akili wanaendelea kuendesha serikali yenye ofisi Dar wakati makao makuu ni Dodoma. Kichaa akawahamishia wote Dodoma kwa lazima na kuanzisha ujenzi wa mji wa serikali.
7. Alikuta wenye akili wanatumia ikulu waliyojengewa na wakoloni, Kichaa akaamua kujenga ikulu mpya Chamwino tena ikajengwa na Wanajeshi wazalendo.
8. Alikuta huduma mbovu za Afya. Kichaa akajenga Hospitali kubwa za kanda Njombe, Mtwara, Mara na Geita + Hospitali za rufaa 67 na vituo vya Afya 1000+. Huyu kweli alikuwa chizi.
9. Alikuta watumishi wa Umma na Matajiri wanaishi kwa mazoea na kuwadharau raia wenye hali duni. Kichaa akafanya matajiri wawaogope na kuwaheshimu maskini vibaya mno.
10. Alikuta wenye akili wanatumia saa kadhaa toka Kigongo kwenda Busisi akawajengea daraja wapite fasta.
11. Alikuta tatizo kubwa sana la maji mkoani Arusha, akawajengea wajanga wa R chuga mradi wa bilioni 500 sahivi lema anaogelea tu huku anamtukana kichaa.
12. Alipanua bandari zote na kusisitiza kuwa tunaweza kutumia akili zetu kuziendesha kwa ufanisi lakini wenye akili wakasema sisi hatuwezi wakawapa waarabu na lile tapeli la India linalotafutwa na Marekani, yes lile lililofukuzwa hapo Kenya.
13. Kichaa aliyevunja mikataba ya kitapeli na makampuni yanayotuibia rasilimali za nchi na kuzuia usafirishaji wa makinikia mpaka mafisadi wakapanda ndege kuja kukubaliana upya na kufikia win-win situation.
14. Hili chizi halikwenda kuwaabudu wazungu na kuombaomba, liliwaambia wazungu kuwa SISI NI MATAJIRI njooni mezani matajiri tujadiliane namna ya kufaidiana, wazungu wakaja na private jet kukutana na kichaa ili kuyajenga.
Huyu ni kichaa mzuri, naam Kichaa wa nguvu.
Hapo sijazungumzia barabara, meli n.k
Ngoja nimsaidie:Sankara (RIP) alishafafanua hili la ukichaa labda kama unajisahaulisha!
Mkuu nami pia nashukuru kwa hii article.Thank You!
Na hata ukiwa kichaa,huwezi kujijua kama wewe ni kichaa,Ukiwa kichaa huwezi kuona ukichaa wa kichaa mwenzako.
Na hata ukiwa kichaa,huwezi kujijua kama wewe ni kichaa,
Unaweza kukuta hata wewe ni kichaa ila hujijui tu coz huwezi kutumia akili zenye ukichaa ili kujitambua kama wewe una ukichaa au hauna huo ukichaa.
Alifurahia kutukuzwa kama Mungu. Mungu wa kweli ana wivu, akamchomoa na kwa kufanya hivyo tukapona.1. Alikuta marais wenye akili wameua shirika la ndege, yeye akalifufua na kununua ndege 11 tena kwa cash. Huyu ni kichaa mzuri.
2. Alikuta wenye akili wameshindwa kuja na suluhu ya kudumu ya tatizo la umeme. Kichaa huyu akajenga Bwawa la Mwl Nyerere.
3. Alikuta maelfu ya watumishi hewa na matapeli waliokuwa na vyeti feki. Kichaa akawatembezea rungu, wakaanguka chalii.
4. Alikuta Reli yakati ikiwa hoi bin taaban baada ya marais wenye akili kushindwa kuiendesha. Kichaa akaanza kujenga reli ya SGR ili wenye akili wasafiri kwa raha.
5. Alikuta changamoto kubwa ya foleni Dar baada ya wenye akili kusema kuwa foleni ni kipimo cha maendeleo. Kichaa akajenga Kijazi, Mfugale na Tanzanite ili wenye akili wawahi kufika waendapo.
6. Alikuta wenye akili wanaendelea kuendesha serikali yenye ofisi Dar wakati makao makuu ni Dodoma. Kichaa akawahamishia wote Dodoma kwa lazima na kuanzisha ujenzi wa mji wa serikali.
7. Alikuta wenye akili wanatumia ikulu waliyojengewa na wakoloni, Kichaa akaamua kujenga ikulu mpya Chamwino tena ikajengwa na Wanajeshi wazalendo.
8. Alikuta huduma mbovu za Afya. Kichaa akajenga Hospitali kubwa za kanda Njombe, Mtwara, Mara na Geita + Hospitali za rufaa 67 na vituo vya Afya 1000+. Huyu kweli alikuwa chizi.
9. Alikuta watumishi wa Umma na Matajiri wanaishi kwa mazoea na kuwadharau raia wenye hali duni. Kichaa akafanya matajiri wawaogope na kuwaheshimu maskini vibaya mno.
10. Alikuta wenye akili wanatumia saa kadhaa toka Kigongo kwenda Busisi akawajengea daraja wapite fasta.
11. Alikuta tatizo kubwa sana la maji mkoani Arusha, akawajengea wajanga wa R chuga mradi wa bilioni 500 sahivi lema anaogelea tu huku anamtukana kichaa.
12. Alipanua bandari zote na kusisitiza kuwa tunaweza kutumia akili zetu kuziendesha kwa ufanisi lakini wenye akili wakasema sisi hatuwezi wakawapa waarabu na lile tapeli la India linalotafutwa na Marekani, yes lile lililofukuzwa hapo Kenya.
13. Kichaa aliyevunja mikataba ya kitapeli na makampuni yanayotuibia rasilimali za nchi na kuzuia usafirishaji wa makinikia mpaka mafisadi wakapanda ndege kuja kukubaliana upya na kufikia win-win situation.
14. Hili chizi halikwenda kuwaabudu wazungu na kuombaomba, liliwaambia wazungu kuwa SISI NI MATAJIRI njooni mezani matajiri tujadiliane namna ya kufaidiana, wazungu wakaja na private jet kukutana na kichaa ili kuyajenga.
Huyu ni kichaa mzuri, naam Kichaa wa nguvu.
Hapo sijazungumzia barabara, meli n.k
Na yote haya yalitekelezwa bila ya kufuata bajeti ilopitishwa na bunge wala kuzingatia sheria ya manunuzi ya umma. Wala sheria za utumishi wa umma hazikuwa na umuhimu. Umenikumbusha wimbo wa Dolly Parton, “Yesterday is gone but tomorrow is forevr”.1. Alikuta marais wenye akili wameua shirika la ndege, yeye akalifufua na kununua ndege 11 tena kwa cash. Huyu ni kichaa mzuri.