Hachafuliki: Tunampenda Rais Dikteta na Kichaa Aliyefanya haya

Kwani wapi nimetetea awamu yoyote? Unaleta Whataboutism fallacy.

Mabaya ya Magufuli ni matokeo ya mabaya ya Nyerere.

Nyerere alichukua sheria za kikoloni akazirithi, akazitumia yeye. Jaji Nyalali kaziandika sheria 40 kandamizi.

Nyerere kafunga wapinzani wake kwa indefinite detention. Nyerere kapiga marufuku vyama vya siasa vya upinzani, miaka ya 1960s. Nyerere kalambisha asali za ubalozi kina Christopher Kassanga Tumbo tangu miaka ya 1960s.

Magufuli kaendeleza.

That does not make either right.

They are both wrong. Two wrongs do not make a right.
Mara nyingi mitazamo huonekana kama kitu sahihi Kwa muhusika, unachokiongea ni mtazamo ambao unautoa Kwa sababu tu hujawahi kupewa hata taasisi kuiongoza.
 
Kipi ni mtazamo exactly? Kitaje hapa tukichambue kwa kina usiseme mambo juu juu tu.
 
1. Alikuta marais wenye akili wameua shirika la ndege, yeye akalifufua na kununua ndege 11 tena kwa cash. Huyu ni kichaa mzuri.

2. Alikuta wenye akili wameshindwa kuja na suluhu ya kudumu ya tatizo la umeme. Kichaa huyu akajenga Bwawa la Mwl Nyerere.

3. Alikuta maelfu ya watumishi hewa na matapeli waliokuwa na vyeti feki. Kichaa akawatembezea rungu, wakaanguka chalii.

4. Alikuta Reli yakati ikiwa hoi bin taaban baada ya marais wenye akili kushindwa kuiendesha. Kichaa akaanza kujenga reli ya SGR ili wenye akili wasafiri kwa raha.

5. Alikuta changamoto kubwa ya foleni Dar baada ya wenye akili kusema kuwa foleni ni kipimo cha maendeleo. Kichaa akajenga Kijazi, Mfugale na Tanzanite ili wenye akili wawahi kufika waendapo.

6. Alikuta wenye akili wanaendelea kuendesha serikali yenye ofisi Dar wakati makao makuu ni Dodoma. Kichaa akawahamishia wote Dodoma kwa lazima na kuanzisha ujenzi wa mji wa serikali.

7. Alikuta wenye akili wanatumia ikulu waliyojengewa na wakoloni, Kichaa akaamua kujenga ikulu mpya Chamwino tena ikajengwa na Wanajeshi wazalendo.

8. Alikuta huduma mbovu za Afya. Kichaa akajenga Hospitali kubwa za kanda Njombe, Mtwara, Mara na Geita + Hospitali za rufaa 67 na vituo vya Afya 1000+. Huyu kweli alikuwa chizi.

9. Alikuta watumishi wa Umma na Matajiri wanaishi kwa mazoea na kuwadharau raia wenye hali duni. Kichaa akafanya matajiri wawaogope na kuwaheshimu maskini vibaya mno.

10. Alikuta wenye akili wanatumia saa kadhaa toka Kigongo kwenda Busisi akawajengea daraja wapite fasta.

11. Alikuta tatizo kubwa sana la maji mkoani Arusha, akawajengea wajanga wa R chuga mradi wa bilioni 500 sahivi lema anaogelea tu huku anamtukana kichaa.

12. Alipanua bandari zote na kusisitiza kuwa tunaweza kutumia akili zetu kuziendesha kwa ufanisi lakini wenye akili wakasema sisi hatuwezi wakawapa waarabu na lile tapeli la India linalotafutwa na Marekani, yes lile lililofukuzwa hapo Kenya.

13. Kichaa aliyevunja mikataba ya kitapeli na makampuni yanayotuibia rasilimali za nchi na kuzuia usafirishaji wa makinikia mpaka mafisadi wakapanda ndege kuja kukubaliana upya na kufikia win-win situation.

14. Hili chizi halikwenda kuwaabudu wazungu na kuombaomba, liliwaambia wazungu kuwa SISI NI MATAJIRI njooni mezani matajiri tujadiliane namna ya kufaidiana, wazungu wakaja na private jet kukutana na kichaa ili kuyajenga.

Huyu ni kichaa mzuri, naam Kichaa wa nguvu.

Hapo sijazungumzia barabara, meli n.k
Nashukuru Mungu huyu anaye itwa kichaaa kutuletea umeme kijijini kwetu Kyela ngonga.mungu ambaliki huyu anaye itwa kichaaa na huyo kibendera Mungu atampiga tuu pamoja nawaliomtuma watu wana hasira na kufariki shujaa Magufuli yy anamwitakichaa ok ok Dua zinaendelea kumuombea amani huko aliko huyo anae itwa kichaa ili Mungu amlinde
 
Mfuateni huko Jehannam
 
Mara nyingi mitazamo huonekana kama kitu sahihi Kwa muhusika, unachokiongea ni mtazamo ambao unautoa Kwa sababu tu hujawahi kupewa hata taasisi kuiongoza.
Unavyosema Nyerere alirithi tabia za kikoloni, huo ni mtazamo wako unaposema Mabaya ya Magufuli ni matokeo ya Mabaya Nyerere vilevile ni mtazamo wako na weledi wako unapoishia ndiyo maana nikakwambia huwezi hata kuingiza taasisi, hivi unafikiri unaweza kufanya mabadiliko kwenye mfumo Kwa siku, mwezi au week? Imagine unataka kumhandle mtu aache araibu wa jambo fulani unafikiri litakuwa jambo la siku Moja tu, So ukitaka Nyerere abadilishe mifumo ya waingereza ndani ya muda mfupi tuu? Katiba tunayoitumia Hadi Leo ni ya kikoloni wamepita Marais wangapi wakashindwa kuibadilisha??
 
1. Alikuta marais wenye akili wameua shirika la ndege, yeye akalifufua na kununua ndege 11 tena kwa cash. Huyu ni kichaa mzuri.

2. Alikuta wenye akili wameshindwa kuja na suluhu ya kudumu ya tatizo la umeme. Kichaa huyu akajenga Bwawa la Mwl Nyerere.

3. Alikuta maelfu ya watumishi hewa na matapeli waliokuwa na vyeti feki. Kichaa akawatembezea rungu, wakaanguka chalii.

4. Alikuta Reli yakati ikiwa hoi bin taaban baada ya marais wenye akili kushindwa kuiendesha. Kichaa akaanza kujenga reli ya SGR ili wenye akili wasafiri kwa raha.

5. Alikuta changamoto kubwa ya foleni Dar baada ya wenye akili kusema kuwa foleni ni kipimo cha maendeleo. Kichaa akajenga Kijazi, Mfugale na Tanzanite ili wenye akili wawahi kufika waendapo.

6. Alikuta wenye akili wanaendelea kuendesha serikali yenye ofisi Dar wakati makao makuu ni Dodoma. Kichaa akawahamishia wote Dodoma kwa lazima na kuanzisha ujenzi wa mji wa serikali.

7. Alikuta wenye akili wanatumia ikulu waliyojengewa na wakoloni, Kichaa akaamua kujenga ikulu mpya Chamwino tena ikajengwa na Wanajeshi wazalendo.

8. Alikuta huduma mbovu za Afya. Kichaa akajenga Hospitali kubwa za kanda Njombe, Mtwara, Mara na Geita + Hospitali za rufaa 67 na vituo vya Afya 1000+. Huyu kweli alikuwa chizi.

9. Alikuta watumishi wa Umma na Matajiri wanaishi kwa mazoea na kuwadharau raia wenye hali duni. Kichaa akafanya matajiri wawaogope na kuwaheshimu maskini vibaya mno.

10. Alikuta wenye akili wanatumia saa kadhaa toka Kigongo kwenda Busisi akawajengea daraja wapite fasta.

11. Alikuta tatizo kubwa sana la maji mkoani Arusha, akawajengea wajanga wa R chuga mradi wa bilioni 500 sahivi lema anaogelea tu huku anamtukana kichaa.

12. Alipanua bandari zote na kusisitiza kuwa tunaweza kutumia akili zetu kuziendesha kwa ufanisi lakini wenye akili wakasema sisi hatuwezi wakawapa waarabu na lile tapeli la India linalotafutwa na Marekani, yes lile lililofukuzwa hapo Kenya.

13. Kichaa aliyevunja mikataba ya kitapeli na makampuni yanayotuibia rasilimali za nchi na kuzuia usafirishaji wa makinikia mpaka mafisadi wakapanda ndege kuja kukubaliana upya na kufikia win-win situation.

14. Hili chizi halikwenda kuwaabudu wazungu na kuombaomba, liliwaambia wazungu kuwa SISI NI MATAJIRI njooni mezani matajiri tujadiliane namna ya kufaidiana, wazungu wakaja na private jet kukutana na kichaa ili kuyajenga.

Huyu ni kichaa mzuri, naam Kichaa wa nguvu.

Hapo sijazungumzia barabara, meli n.k
Sizonje...hahaha
 
I wholeheartedly agree with you
 
Hata Hitler alifanya mengi huko Germany. Stalin alifanya makubwa huko Rusia .... hiyo haionfoi ukweli kuwa walikuwa ni madikteta na wakatili.
 
Nashukuru Mungu huyu anaye itwa kichaaa kutuletea umeme kijijini kwetu Kyela ngonga.mungu ambaliki huyu anaye itwa kichaaa na huyo kibendera Mungu atampiga tuu pamoja nawaliomtuma watu wana hasira na kufariki shujaa Magufuli yy anamwitakichaa ok ok Dua zinaendelea kumuombea amani huko aliko huyo anae itwa kichaa ili Mungu amlinde
Kichaa alifanya mengi sana mpaka wenye akili wanaweweseka kila siku.
 
Hawawaoni kina mzee Kibao wameuawa kwa kuchukuliwa mchana kweupe na bado ushungi akapigilia kifo ni kifo tu, kina Sativa wamevunjwa taya ila kwakuwa kafanya sponsor wao wanakenua meno, kina Soka na wenzake hawajulikani mpaka leo ila kwa kuwa kafanya mama wa nchi jirani wanaona kheri tu. Bandari zinapigwa mnada na bahari na maziwa vinamilikishwa kwa wageni sisi tuko busy kunanga asiyeweza kujitetea.
Yaani hii mijitu inayomnanga jembe alafu sasa hivi yanayotokea hawayaoni sioni wakipiga kelele kila siku ivi kwa nini uyo sijui ndo kibendera atoe kitabu cha mama abduli au yanayofanyika kwenye hichi kipindi chake hawayaoni wanahangaika na mtu aliyepumzika😡😡😡
 
Alifurahia kutukuzwa kama Mungu. Mungu wa kweli ana wivu, akamchomoa na kwa kufanya hivyo tukapona.
Mmepona mbona kina sativa wanapigwa risasi za taya bila kosa watu wanatekwa hadharani wanauwawa vp mmepona wapi

Bandari kauziwa mwarabu mmepona wapi?
Bidhaa zimepanda bei mmepona wapi?
Huduma mbovu kwenye ofisi za kiserikali hauhudumiwi kwa wakati hata kama ni haki yako mmepona wapi?
Hebu nieleweshe nikuelewe
 
Tunampenda/Tutampenda/ yaan HAPA KAZI TU ilikua ni bonge la slogan ever..

Enzi izo mpaka safari za nje canceled ✖️ ❌
Mambo ya chai 😁 semina/ warsha canceled ❌ ✖️

Alisafisha safishaa balaaa Bado vyeti FEKI 🏃🏃🏃

Mtu mmoja anaingia kwenye bodi mpaka 5 na ana sign mamilioni..

Dili..mtu anamiliki nyumba mpaka 90...anahonga ma IST..Anasafiri nje mpaka familia Ina m miss mpaka Ina m miss place kwenda ulaya kuliko kijijini kwao..

Alionyeshwa kompyuta mbovu alipo fanya ziara ya kushitukizaa BANDARINI 😊😊 aka lala nao mbeleee

Mazuri ya JPM ni mengi Sanaa ALIJIPUNGUZIA MPAKA MSHAHARA WAKEE MWENYEWE..

MAGUFURI ALIKUA NI MTU WA PEKEE SANAA SHOW ALIYO WAPA MPAKA SASA INAWALEVYA

MAGUFURI alipinga ushoga na shisha na vilainishi...watetea mashogaaa wakanunaa..

FOR ALL HATERS 😤
Heshima kwa JPM daima sumu.
 
Hakuna kitu alikuwa ananifurahisha yule kichaa kama jinsi alivyokuwa anawatumbua vigogo wenye akili timamu
 
Yaani hii mijitu inayomnanga jembe alafu sasa hivi yanayotokea hawayaoni sioni wakipiga kelele kila siku ivi kwa nini uyo sijui ndo kibendera atoe kitabu cha mama abduli au yanayofanyika kwenye hichi kipindi chake hawayaoni wanahangaika na mtu aliyepumzika😡😡😡
Maokoto mkuu hupofusha sana!!
 
Hata Hitler alifanya mengi huko Germany. Stalin alifanya makubwa huko Rusia .... hiyo haionfoi ukweli kuwa walikuwa ni madikteta na wakatili.
Udikteta ndiyo uongozi bora duniani.
 
Hakuna kitu alikuwa ananifurahisha yule kichaa kama jinsi alivyokuwa anawatumbua vigogo wenye akili timamu
Watanzania wengi kama wewe ni sadists, na ndiyo maana mlimpenda sana rais wenu kichaa kwa sababu alikuwa sadist in chief.

Nyie hamkujali utawala wa sheria, vita dhidi ya umasikini, demokrasia etc.

Mlitaka kuona watu wanatumbuliwa tu.

Kwq style yenu pendwa ya "Nitumbueeee nisitumbueeeee?"

Mnajibu "Tumbuuuaaaaa".

Basi hapi roho kwaaatu.

Na rais wenu aliwajulia na kuwapa show ya sadism mliyoitaka.

Ndiyo maana hamuwezi kutoka kwenye umasikini.

Mnaweza kushikiwa akili kirahisi sana kama watoto wajinga.
 
Back
Top Bottom