OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Malipo ni hapa hapa duniani. Hata yeye kanali fuvu tu shimoni huku kina Kiasi na Kabendera wakila ugali. Nadhani ungeuliwa mama yako usingekuwa humu kukenuaIli wananchi milioni 60 waweze kuishi kwa amani ni lazima wasiokuwa na upendo na nchi wafe. Uingereza ili prince Diana, kwa kuwa alitaka kuolewa na mwarabu
Waarabu walimua Mwandishi wa habari Kashoki kulinda Taifa Lao. Hivyo hakuna uongozi unaochekea upumbavu.
Okay, wewe unaangalia mambaya mbona husifii mazuri km SGR, Bwana la Umeme na miradi mingine ya kimkakati?
Akimwaga damu yako na kukuua kwa sababu hakuna rais asiyemwaga damu itakuwa sawa tu?Hakuna raisi asiyemwaga damu, nitajie ni raisi yupi toka Nyerere hadi Samia hajawahi kumwaga damu za watu. Unadhani kuongoza nchi ni sawa na kuiongoza familia yako ya watu watano?
Tunamhitaji sana kichaa wa kutuletea maendeleo ya namna hiyo. !1. Alikuta marais wenye akili wameua shirika la ndege, yeye akalifufua na kununua ndege 11 tena kwa cash. Huyu ni kichaa mzuri.
2. Alikuta wenye akili wameshindwa kuja na suluhu ya kudumu ya tatizo la umeme. Kichaa huyu akajenga Bwawa la Mwl Nyerere.
3. Alikuta maelfu ya watumishi hewa na matapeli waliokuwa na vyeti feki. Kichaa akawatembezea rungu, wakaanguka chalii.
4. Alikuta Reli yakati ikiwa hoi bin taaban baada ya marais wenye akili kushindwa kuiendesha. Kichaa akaanza kujenga reli ya SGR ili wenye akili wasafiri kwa raha.
5. Alikuta changamoto kubwa ya foleni Dar baada ya wenye akili kusema kuwa foleni ni kipimo cha maendeleo. Kichaa akajenga Kijazi, Mfugale na Tanzanite ili wenye akili wawahi kufika waendapo.
6. Alikuta wenye akili wanaendelea kuendesha serikali yenye ofisi Dar wakati makao makuu ni Dodoma. Kichaa akawahamishia wote Dodoma kwa lazima na kuanzisha ujenzi wa mji wa serikali.
7. Alikuta wenye akili wanatumia ikulu waliyojengewa na wakoloni, Kichaa akaamua kujenga ikulu mpya Chamwino tena ikajengwa na Wanajeshi wazalendo.
8. Alikuta huduma mbovu za Afya. Kichaa akajenga Hospitali kubwa za kanda Njombe, Mtwara, Mara na Geita + Hospitali za rufaa 67 na vituo vya Afya 1000+. Huyu kweli alikuwa chizi.
9. Alikuta watumishi wa Afya na Matajiri wanaishi kwa mazoea na kuwadharau raia wenye hali duni. Kichaa akafanya matajiri wawaogope na kuwaheshimu maskini vibaya mno.
10. Alikuta wenye akili wanatumia saa kadhaa toka Kigongo kwenda Busisi akawajengea daraja wapite fasta.
11. Alikuta tatizo kubwa sana la maji mkoani Arusha, akawajengea wajanga wa R chuga mradi wa bilioni 500 sahivi lema anaogelea tu huku anamtukana kichaa.
12. Alipanua bandari zote na kusisitiza kuwa tunaweza kutumia akili zetu kuziendesha kwa ufanisi lakini wenye akili wakasema sisi hatuwezi wakawapa waarabu na lile tapeli la India linalotafutwa na Marekani, yes lile lililofukuzwa hapo Kenya.
Hapo sijazungumzia barabara, meli n.k
Hawawaoni kina mzee Kibao wameuawa kwa kuchukuliwa mchana kweupe na bado ushungi akapigilia kifo ni kifo tu, kina Sativa wamevunjwa taya ila kwakuwa kafanya sponsor wao wanakenua meno, kina Soka na wenzake hawajulikani mpaka leo ila kwa kuwa kafanya mama wa nchi jirani wanaona kheri tu. Bandari zinapigwa mnada na bahari na maziwa vinamilikishwa kwa wageni sisi tuko busy kunanga asiyeweza kujitetea.Hii ni kampeni ya October 2025. Tutasikia mengi Sana ili Samia aonekane ana unafuu, mwema, muadilifu. JPM anatumiwa kama ngazi na awamu hii ya sita.
Huyu makamu na genge lake waliokuwa wanavujisha siri za kila aina kwa kigogo, mange wangekaa kimya miaka mitatu wakijua haya?
Mmejaribu kila kitu. Malizieni kwamba alibaka wanawake, watoto, wazee na wapinzani wake ikulu.
Itakuwa sawa tu, au unadhani namuongelea binadamu wa kufikirika?Akimwaga damu yako na kukuua kwa sababu hakuna rais asiyemwaga damu itakuwa sawa tu?
Au ni sawa kwa damu ya wenzako tu, yako si sawa?
Kwa hiyo vipindi vingine walioua walijulikana, kipindi chake ndio likaja neno "wasiojulikana"? Tofauti iko wapi kama wote waliua?Huyu alizidi ndo mwasisi wa wasiojulikana
Jitangulize basi utolewe sadaka kabisa tujue unamaanisha unachosema.Itakuwa sawa tu, au unadhani namuongelea binadamu wa kufikirika?
Nyie wanjinga mmekaririshwa propaganda. Ndiyo maana nchi ka Tanzania ili utawale zuia vyombo vya habari kuropoka.Huyu alizidi ndo mwasisi wa wasiojulikana
Nakuunga mkono asilimia zoteAFRIKA INA HITAJI MARAIS MADIKTETA KAMA ALIVYOKUWA MAGUFULI!
MAJITU MEUSI BILA KUWA KATIRI WA KIROHO NA KIMWILI NI NGUMU SANA KUYAONGOZA!
MAGUFULI ALIPASWA KUONGOZA MIAKA BUKU ILI MIAFRIKA YENYE LAANA INYOOKE
.Tunampenda/Tutampenda/ yaan HAPA KAZI TU ilikua ni bonge la slogan ever..
Enzi izo mpaka safari za nje canceled ✖️ ❌
Mambo ya chai 😁 semina/ warsha canceled ❌ ✖️
Alisafisha safishaa balaaa Bado vyeti FEKI 🏃🏃🏃
Mtu mmoja anaingia kwenye bodi mpaka 5 na ana sign mamilioni..
Dili..mtu anamiliki nyumba mpaka 90...anahonga ma IST..Anasafiri nje mpaka familia Ina m miss mpaka Ina m miss place kwenda ulaya kuliko kijijini kwao..
Alionyeshwa kompyuta mbovu alipo fanya ziara ya kushitukizaa BANDARINI 😊😊 aka lala nao mbeleee
Mazuri ya JPM ni mengi Sanaa ALIJIPUNGUZIA MPAKA MSHAHARA WAKEE MWENYEWE..
MAGUFURI ALIKUA NI MTU WA PEKEE SANAA SHOW ALIYO WAPA MPAKA SASA INAWALEVYA
MAGUFURI alipinga ushoga na shisha na vilainishi...watetea mashogaaa wakanunaa..
FOR ALL HATERS 😤
Alikuta wasimamizi wa migodi yote Tanzania Yaani Barrick wakichukua faida yote iliyokuwa ikipatikana pekeyao akaunda Kampuni ya Twiga Ili faida mgao uwe 59% 50%, aisee huyu alikuwa chizi kupitiliza1. Alikuta marais wenye akili wameua shirika la ndege, yeye akalifufua na kununua ndege 11 tena kwa cash. Huyu ni kichaa mzuri.
2. Alikuta wenye akili wameshindwa kuja na suluhu ya kudumu ya tatizo la umeme. Kichaa huyu akajenga Bwawa la Mwl Nyerere.
3. Alikuta maelfu ya watumishi hewa na matapeli waliokuwa na vyeti feki. Kichaa akawatembezea rungu, wakaanguka chalii.
4. Alikuta Reli yakati ikiwa hoi bin taaban baada ya marais wenye akili kushindwa kuiendesha. Kichaa akaanza kujenga reli ya SGR ili wenye akili wasafiri kwa raha.
5. Alikuta changamoto kubwa ya foleni Dar baada ya wenye akili kusema kuwa foleni ni kipimo cha maendeleo. Kichaa akajenga Kijazi, Mfugale na Tanzanite ili wenye akili wawahi kufika waendapo.
6. Alikuta wenye akili wanaendelea kuendesha serikali yenye ofisi Dar wakati makao makuu ni Dodoma. Kichaa akawahamishia wote Dodoma kwa lazima na kuanzisha ujenzi wa mji wa serikali.
7. Alikuta wenye akili wanatumia ikulu waliyojengewa na wakoloni, Kichaa akaamua kujenga ikulu mpya Chamwino tena ikajengwa na Wanajeshi wazalendo.
8. Alikuta huduma mbovu za Afya. Kichaa akajenga Hospitali kubwa za kanda Njombe, Mtwara, Mara na Geita + Hospitali za rufaa 67 na vituo vya Afya 1000+. Huyu kweli alikuwa chizi.
9. Alikuta watumishi wa Afya na Matajiri wanaishi kwa mazoea na kuwadharau raia wenye hali duni. Kichaa akafanya matajiri wawaogope na kuwaheshimu maskini vibaya mno.
10. Alikuta wenye akili wanatumia saa kadhaa toka Kigongo kwenda Busisi akawajengea daraja wapite fasta.
11. Alikuta tatizo kubwa sana la maji mkoani Arusha, akawajengea wajanga wa R chuga mradi wa bilioni 500 sahivi lema anaogelea tu huku anamtukana kichaa.
12. Alipanua bandari zote na kusisitiza kuwa tunaweza kutumia akili zetu kuziendesha kwa ufanisi lakini wenye akili wakasema sisi hatuwezi wakawapa waarabu na lile tapeli la India linalotafutwa na Marekani, yes lile lililofukuzwa hapo Kenya.
Hapo sijazungumzia barabara, meli n.k
Daaah 😂😂Hujaweka la beni sanane
Na wewe kichaa umepost akili kubwa... Hongera!!!1. Alikuta marais wenye akili wameua shirika la ndege, yeye akalifufua na kununua ndege 11 tena kwa cash. Huyu ni kichaa mzuri.
2. Alikuta wenye akili wameshindwa kuja na suluhu ya kudumu ya tatizo la umeme. Kichaa huyu akajenga Bwawa la Mwl Nyerere.
3. Alikuta maelfu ya watumishi hewa na matapeli waliokuwa na vyeti feki. Kichaa akawatembezea rungu, wakaanguka chalii.
4. Alikuta Reli yakati ikiwa hoi bin taaban baada ya marais wenye akili kushindwa kuiendesha. Kichaa akaanza kujenga reli ya SGR ili wenye akili wasafiri kwa raha.
5. Alikuta changamoto kubwa ya foleni Dar baada ya wenye akili kusema kuwa foleni ni kipimo cha maendeleo. Kichaa akajenga Kijazi, Mfugale na Tanzanite ili wenye akili wawahi kufika waendapo.
6. Alikuta wenye akili wanaendelea kuendesha serikali yenye ofisi Dar wakati makao makuu ni Dodoma. Kichaa akawahamishia wote Dodoma kwa lazima na kuanzisha ujenzi wa mji wa serikali.
7. Alikuta wenye akili wanatumia ikulu waliyojengewa na wakoloni, Kichaa akaamua kujenga ikulu mpya Chamwino tena ikajengwa na Wanajeshi wazalendo.
8. Alikuta huduma mbovu za Afya. Kichaa akajenga Hospitali kubwa za kanda Njombe, Mtwara, Mara na Geita + Hospitali za rufaa 67 na vituo vya Afya 1000+. Huyu kweli alikuwa chizi.
9. Alikuta watumishi wa Afya na Matajiri wanaishi kwa mazoea na kuwadharau raia wenye hali duni. Kichaa akafanya matajiri wawaogope na kuwaheshimu maskini vibaya mno.
10. Alikuta wenye akili wanatumia saa kadhaa toka Kigongo kwenda Busisi akawajengea daraja wapite fasta.
11. Alikuta tatizo kubwa sana la maji mkoani Arusha, akawajengea wajanga wa R chuga mradi wa bilioni 500 sahivi lema anaogelea tu huku anamtukana kichaa.
12. Alipanua bandari zote na kusisitiza kuwa tunaweza kutumia akili zetu kuziendesha kwa ufanisi lakini wenye akili wakasema sisi hatuwezi wakawapa waarabu na lile tapeli la India linalotafutwa na Marekani, yes lile lililofukuzwa hapo Kenya.
Hapo sijazungumzia barabara, meli n.k
Yoyote anakayekata mirija ya wapigaji atafanyiwa kampeni kama hii. Wengi CCM, Samia Wengi Chadema, Mbowe, Zitto, Act adui wao mkubwa ni JPM sio ufisadi, uzembe, rushwa, kutowajibikaji wala kulinda maliadili za Taifa.Hawawaoni kina mzee Kibao wameuawa kwa kuchukuliwa mchana kweupe na bado ushungi akapigilia kifo ni kifo tu, kina Sativa wamevunjwa taya ila kwakuwa kafanya sponsor wao wanakenua meno, kina Soka na wenzake hawajulikani mpaka leo ila kwa kuwa kafanya mama wa nchi jirani wanaona kheri tu. Bandari zinapigwa mnada na bahari na maziwa vinamilikishwa kwa wageni sisi tuko busy kunanga asiyeweza kujitetea.
13.Ali fanya elimu kuwa bure ili wananchi wote wenye navyo na wasio kuanavyo waweze kupata huduma hii muhimu kwaajili ya ukombozi wa fikra zao na kufungua maisha yao mi ni shuhuda wa jinsi elimu bure ilivo nisadia had leo hii nilipo mimi hilo tu linanitosha kumtaja kama kiongozi bora kabisa ktk historia ya nchi hii1. Alikuta marais wenye akili wameua shirika la ndege, yeye akalifufua na kununua ndege 11 tena kwa cash. Huyu ni kichaa mzuri.
2. Alikuta wenye akili wameshindwa kuja na suluhu ya kudumu ya tatizo la umeme. Kichaa huyu akajenga Bwawa la Mwl Nyerere.
3. Alikuta maelfu ya watumishi hewa na matapeli waliokuwa na vyeti feki. Kichaa akawatembezea rungu, wakaanguka chalii.
4. Alikuta Reli yakati ikiwa hoi bin taaban baada ya marais wenye akili kushindwa kuiendesha. Kichaa akaanza kujenga reli ya SGR ili wenye akili wasafiri kwa raha.
5. Alikuta changamoto kubwa ya foleni Dar baada ya wenye akili kusema kuwa foleni ni kipimo cha maendeleo. Kichaa akajenga Kijazi, Mfugale na Tanzanite ili wenye akili wawahi kufika waendapo.
6. Alikuta wenye akili wanaendelea kuendesha serikali yenye ofisi Dar wakati makao makuu ni Dodoma. Kichaa akawahamishia wote Dodoma kwa lazima na kuanzisha ujenzi wa mji wa serikali.
7. Alikuta wenye akili wanatumia ikulu waliyojengewa na wakoloni, Kichaa akaamua kujenga ikulu mpya Chamwino tena ikajengwa na Wanajeshi wazalendo.
8. Alikuta huduma mbovu za Afya. Kichaa akajenga Hospitali kubwa za kanda Njombe, Mtwara, Mara na Geita + Hospitali za rufaa 67 na vituo vya Afya 1000+. Huyu kweli alikuwa chizi.
9. Alikuta watumishi wa Afya na Matajiri wanaishi kwa mazoea na kuwadharau raia wenye hali duni. Kichaa akafanya matajiri wawaogope na kuwaheshimu maskini vibaya mno.
10. Alikuta wenye akili wanatumia saa kadhaa toka Kigongo kwenda Busisi akawajengea daraja wapite fasta.
11. Alikuta tatizo kubwa sana la maji mkoani Arusha, akawajengea wajanga wa R chuga mradi wa bilioni 500 sahivi lema anaogelea tu huku anamtukana kichaa.
12. Alipanua bandari zote na kusisitiza kuwa tunaweza kutumia akili zetu kuziendesha kwa ufanisi lakini wenye akili wakasema sisi hatuwezi wakawapa waarabu na lile tapeli la India linalotafutwa na Marekani, yes lile lililofukuzwa hapo Kenya.
Hapo sijazungumzia barabara, meli n.k
Na ukiwa na akili huwezi kumuona mwenye akili mwenzakoUkiwa kichaa huwezi kuona ukichaa wa kichaa mwenzako.
Mjinga ni wewe unayetukana hovyoNyie wanjinga mmekaririshwa propaganda. Ndiyo maana nchi ka Tanzania ili utawale zuia vyombo vya habari kuropoka.