Hackers tukutane hapa!

Wabongo tuna tabu sana aisee, ukishajua kuchezea intanet unajiona hackers
Hatari Sana.
Nna ndugu alikua akija home mtu wa Wire shark Mara Kali Linux Mara man of Oracle ...alijichangnya sijui akaingia wapi PC ikapigwa kitu kugeuka Lugha ni kutoka kwa Putin ...neno lililosomeka ni namba za hela alizotakiwa kutoa ( Ransomware )
 
Huyo alikuwa anatumia Window hahaha Ransomware Virus Haiingii kwenye Linux yoyote
 
Linux haiwezi kusumbulia na virus hovyo
 
Tafuta Discord channel au telegram huku wambea ni wengi sana
 
UDOM Kuna cyber security, MUST,UDSM,DIT,ATC hawa computer science wote wanaosoma huku unataka kusema ni washamba
Mm nataka hacker aweze kufanya kitu mpaka umma ukamjua na sio mambo ya kudukua sms ya mpenzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…