Jeshi limebemendwa na ccmJWTZ ilikuwa ikiheshimiwa sana kabla ya 2018 kurudi nyuma.
2018 JWTZ wakaambiwa wakabebe korosho Mtwara. Watanzania tukashangaa na kujiuliza kwanini wanaancha kazi ya msingi na kufanywa kuwa makuli?
2019 tulitangaziwa JWTZ watafanya usafi wa mazingira nchi nzima, watanzania tukapigwa butwaa. Kwann JWTZ inajigeuza NEMC na kuacha jukumu mama LA kulinda mipaka?
2025 JWTZ kwa takribani mwezi mmoja sasa wako barabarani na kwenye vituo vya kuuzia mafuta wanapigwa jua kweli kweli. Sijui ulinzi wa mipaka ya nchi wamemuachia nani?
JWTZ imeshuka hadhi yake na sasa inaonekana kama mgambo tu.
Haha..vp short cut ya kishiri hawapo?cz nlitoka huko juz...kumbe washamwagwa barabaran?Juzi niliwapita hapo sheli ya Sahwa, hii barabara ya kutoka Buhongwa kwenda Igoma wapo wengi tuliokuwa kwenye bajaji kila mtu alisonya kivyake
WapoHaha..vp short cut ya kishiri hawapo?cz nlitoka huko juz...kumbe washamwagwa barabaran?
Mkuu wananchi wengi wamepigwa risasi wakiwa majumbani kwao hata hawakupora cha mtu wala hawakuandamana, Jeshi la wananchi lilichukua hatua gani labdaHivi nye wapumbavu aliye waambia kuwa jeshi linafanya kazi kwa matakwa ya mihemko ya kisiasa ya kikundi fulani ni nani?
Eti jeshi lilitakiwa kusimama na wananchi, kwahiyo nyinyi mlio enda kufanya uharifu ya kupora na kuharibu mali za watu ndo kielelezo na kiwakilishi cha raia wa tz hivyo jeshi lilitakiwa lisimame na nyinyi ili muchome nchi nzima na muibe mali za watu ambao wameshinda juani kuzitafuta kwa jasho?
Nenda kambini kawapigishe kwata na mafunzo ya kijeshi.JWTZ ilikuwa ikiheshimiwa sana kabla ya 2018 kurudi nyuma.
2018 JWTZ wakaambiwa wakabebe korosho Mtwara. Watanzania tukashangaa na kujiuliza kwanini wanaancha kazi ya msingi na kufanywa kuwa makuli?
2019 tulitangaziwa JWTZ watafanya usafi wa mazingira nchi nzima, watanzania tukapigwa butwaa. Kwann JWTZ inajigeuza NEMC na kuacha jukumu mama LA kulinda mipaka?
2025 JWTZ kwa takribani mwezi mmoja sasa wako barabarani na kwenye vituo vya kuuzia mafuta wanapigwa jua kweli kweli. Sijui ulinzi wa mipaka ya nchi wamemuachia nani?
JWTZ imeshuka hadhi yake na sasa inaonekana kama mgambo tu.
Vita haina macho siku zote pale panapo tokea vurugu au vita huwa aichagui na ndio maana viongozi wa dini na watu wenye akili walionya sana kabla ya tarehe 29 mkaishia kuwakejeli na kuwaita machawa.Mkuu wananchi wengi wamepigwa risasi wakiwa majumbani kwao hata hawakupora cha mtu wala hawakuandamana, Jeshi la wananchi lilichukua hatua gani labda
Kumbe haina macho subirii yakukute risasi haitauliza kuwa weye ni chawa au vipi huko huko ndani ulikojifichaVita haina macho siku zote pale panapo tokea vurugu au vita huwa aichagui na ndio maana viongozi wa dini na watu wenye akili walionya sana kabla ya tarehe 29 mkaishia kuwakejeli na kuwaita machawa.
Huyo anaye kuhamasisha uandamane na kufanya fujo ameikimbia nchi kwa kuogopa dola alafu ana kaa huko ana kushawishi ukabiliane na dola aliyo ikimbia uso kwa uso kwa masilahi ya kisiasa.
Umeandika usenge hili kuhalalisha mauaji ya kukusudia yaliyofanywa na wale majangili wenu, yaani majamaa yalikuwa yanaingia kwenye miji ya watu yanakusanya vijana wa kiume kwanzia umri wa miaka 15 kisha yanawapiga risasi kwa pamoja... halafu wewe uko hapa unasema eti "risasi haina macho" kweli??Vita haina macho siku zote pale panapo tokea vurugu au vita huwa aichagui na ndio maana viongozi wa dini na watu wenye akili walionya sana kabla ya tarehe 29 mkaishia kuwakejeli na kuwaita machawa.
Huyo anaye kuhamasisha uandamane na kufanya fujo ameikimbia nchi kwa kuogopa dola alafu ana kaa huko ana kushawishi ukabiliane na dola aliyo ikimbia uso kwa uso kwa masilahi ya kisiasa.