Hadhi na heshima ya JWTZ imeshushwa mara 10 na wanasiasa

Kwani hao walio kuwa wanavunja na kuiba walikuwa wanaishi mbinguni na sio kwenye hizo nyumba unazo zisema?
Ww na familia yako mbona hamkufuatwa nyumbani kwenu na kuuawa au ww hukuwa tz kipindi hicho?
Au bila huo upumbavu wenu mlio uita maandamano hao walio kuwa wanauwa watu wangepata wap sababu ya kufanya hivyo?
 
Kumbe haina macho subirii yakukute risasi haitauliza kuwa weye ni chawa au vipi huko huko ndani ulikojificha
Yakinikuta basi nitakuwa muhanga wa upumbavu wenu ya uporaji na ujambazi kupitia kichaka cha kudai haki na damu yangu itakuwa juu yenu.
 
Ukishaona JESHI limeingia VITANI na Raia wa nchi yake, maana yake HAKUNA JESHI hapo.

Hata mikivamiwa kutoka NJE, mtapigika vibaya sana , maana wananchi hawapigana upande wenu.
 
JWTZ sio Jeshi sass hivi ni kikundi tu cha wahuni na machawa wa ccm
Na ili kupona chawa kichwani inabidi unyolewe nywele zote na kisha zichomwe moto kuunguza chawa na mayai yake.

Kisha uoshe fuvu kwa maji moto na sabuni.
 
funga kopo lako wewe kimada wa abdul! Hauna hoja!
 
Mama yako ndio ameshuka
 
Enyi wapumbav kama wewe nendeni mkatubu kwa Mungu wenu(kama mnaye) walau hawarejeshee ufahamu hata kidogo, maana binadamu wa kawaida hawezi kuwa na akili kama hizi zako.

Mtu mwenye reasoning kama hii yako ni ama kalaaniwa au ana mental derangement.

Yaani kabisa unasema "wewe na familia yako mbona hamkufuatwa majumbani kwenu kuuawa"? ..kwa hiyo kumbe wanaopaswa kuongelea hili ni wale waliouawa tu basi sio? Kwamba waathirika ni waliouawa na ndio wenye haki ya kulikemea, sisi wengine ambaye tulinusurika hatupaswi kuongea maana halituhusu sio?

Hivi unatumia kiongo gani kufikiri binadamu wewe?

"bila huo upumbavu wenu mlio uita maandamano hao walio kuwa wanauwa watu wangepata wap sababu ya kufanya hivyo".. yaani serious kabisa, unaandika hivi kwa ujasiri wote huo halafu bado unajiona wewe ni binadamu timamu?

Kwa hiyo kumbe yakitokea maandamano hao majangili wenu wanakuwa na haki ya kuua yeyote aliyeko mbele yao haijalishi anashiriki hayo maandamano au hashiriki sio? Kwamba yakitokea maandamano basi ni mwendo wa kupiga risasi ovyo ovyo tu na lawama zote ziende kwa waandamanaji sio?

Aisee kwa akili hizi za kishetani wewe huna tofauti na mzoga unaoliwa na funza jalalani, maana wewe ni hatari sana hata kwa familia yako, ni bora ufe tu hili uende ukatubu dhambi hii ya kutetea mauaji huko kwa Mungu wako.
 
Mimi bado naamini wapo upande WA raia, ikitokea TU watu wakatoka hakuna hata mjeshi mmoja atakayemgusa raia, hawajafunzwa na hawawezi kupambana na watu wasiyo na silaha. Amini nakuambia watu wakitoka jeshi litaungana nao.
 
Hili kwa wanasiasa wanajipalia makaa ya moto bila kujua. Korosho hawakuzibeba bure kuna namna walipata kipato cha ziada kwa kazi nyepesi, usafi hawakufanya bure kuna namna waliingiza kipato cha maana kwa kazi rahisi, na sasa wako sheli na barabarani wakichomwa na joto sio bure kuna namna wanaingiza mkwanja kwa kazi hiyo tu

Siku wakigundua kuwa kumbe kwenye siasa kama hizo watu wanajiingizia pesa nzito bila jasho watatamani wawaondoe hao wanasiasa ili wao ndio wazifanye hizo siasa. Na hakuna mwanasiasa atakayeweza kuwazuia kwasababu mwanasiasa anamiliki maneno wakati wao wanamiliki maneno na siraha

Hili swala la kuwahusisha na siasa waliangalie kwa makini zaidi
 
Kwa hiyo unasema TZ ilikuwa kwenye vita tarehe29.Unaijua vita wewe fuckin cunt?
 


Crap from crippled mind.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…