Hujaiona hoja hapo?Duh..kwani hujui kama muda umeisha.?.kweli vijana wa chadema mna bahati mbaya.
MIGA wametunyoa?Achieni media zitangaze habari zake, uoga wa nini? Au ndio mnaelewa sasa hivi kuwa wananchi hawali ndege wala flyover
Hahahaha mnajua kujifariji nyie. Leo hii lissu anajulikana dar na singida tu? Yaan na dodoma alipopigwa risasi hajulikani[emoji16][emoji16]Bora umesema
Maana kuna watu mpaka wanashangaza wanavyompaisha wangejua anajulikana Dar tu na singida
[emoji23][emoji23] nami namshangaa myoa post.anapiga kelele. Kama wanajiamini na mgombea wao waweke mdaharo. Nakuhakikishia watajutia kosa.Mkuu nadhani mdahalo ungekuwa poa sana,ili tuone hiyo mechi Kati ya Real Madrid na Lipuli inavyopigwa and in the end tuconclude who is utopolo and who is not
[emoji817]%Kama ako sawa na wagombea ubunge kubalini kufanya nae mdahalo kama muko na hiyo power LISU kamzidi mgombea wenu kwa kila kitu
Dodoma anajulikana wapi Sasa!!!?Hahahaha mnajua kujifariji nyie. Leo hii lissu anajulikana dar na singida tu? Yaan na dodoma alipopigwa risasi hajulikani[emoji16][emoji16]
Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
Hajulikani Wala Nini nyie endeleeni kumdanganya atakapopata kura sifuri kwwnye maeneo mengi ndui mtakapojuaHakuna mtanzania asie mjua lissu,,hata mke wako na mama ako wanamjua lissu,,,wewe ni nani unaesema lissu hajulikani
Ndugu zangu,
Kuna baadhi ya kikundi wanalazimisha kwa kufanya propaganda kuwa Tundu Lissu ni sawa na Raisi Magufuli, wanaenda mbali kwa kutaka ''mdahalo'', sijui nini na nini. Tuweke taarifa sawa, Tundu Lissu sifa zake ni hizi;
Kwa hoja hizo tatu itoshe kusema inashangaza kuona baadhi ya watu wanaoamini kuwa Tundu Lissu anamaanisha analolofanya kiasi cha kumlinganisha na Rais John Magufuli ambaye ametekeleza kwa kufanya mambo makubwa kwenye ujenzi wa nchi. Magufuli anapaswa kufanya yafuatayo;
- Anagombea urais kutafuta ruzuku ya chadema ili angalau baada ya uchaguzi aweze kupata chochote
- Anaogombea urais ili kuwaridhisha wafadhili wake; mfano mzuri hata hadhira na mambo anayozungumza yanahusu wakenya na wazungu.
- Tundu Lissu anaamini miundombinu, hospitali,shule nk ni maendeleo ya vitu sio watu; sasa hapa kufanya naye mjadala wenye akili watakushangaa. Ni sawa na kumkimbiza kichaa.
Aah itoshe kusema, Raisi Magufuli hahitaji kujieleza, yeye keshatenda. Ni jukumu la Lissu kuwaambia watanzani Je Barrick/Accacia wameshinda kesi MIGA?
- Anapaswa kwa makini kutulia na kuona ni jinsi gani atatimiza manifesto (ilani) ya Chama cha Mapinduzi (CCM), ikumbukwe mambo mengi ametekeleza kuzidi matarajio (2015-2020) na sio kujadili mdahalo wa kujadili kuwa miundombinu ni maendeleo ya watu au vitu?
- Huyu ni mtu anayetumia akili kufikiri namna ya kuwaletea wananchi kwa kutumia rasilimali zilizopo na sio kufurahisha watu wa nje.
Wasalaam.
Hao mmewatoa dar akajipange huko eti mseme Igunga wamefunga njiaLeo Igunga huko wananchi wamefunga barabara!
Hata hadhi ya ubunge Hana labda mwenyekiti serikali ya mtaaNdugu zangu,
Kuna baadhi ya kikundi wanalazimisha kwa kufanya propaganda kuwa Tundu Lissu ni sawa na Raisi Magufuli, wanaenda mbali kwa kutaka ''mdahalo'', sijui nini na nini. Tuweke taarifa sawa, Tundu Lissu sifa zake ni hizi;
Kwa hoja hizo tatu itoshe kusema inashangaza kuona baadhi ya watu wanaoamini kuwa Tundu Lissu anamaanisha analolofanya kiasi cha kumlinganisha na Rais John Magufuli ambaye ametekeleza kwa kufanya mambo makubwa kwenye ujenzi wa nchi. Magufuli anapaswa kufanya yafuatayo;
- Anagombea urais kutafuta ruzuku ya chadema ili angalau baada ya uchaguzi aweze kupata chochote
- Anaogombea urais ili kuwaridhisha wafadhili wake; mfano mzuri hata hadhira na mambo anayozungumza yanahusu wakenya na wazungu.
- Tundu Lissu anaamini miundombinu, hospitali,shule nk ni maendeleo ya vitu sio watu; sasa hapa kufanya naye mjadala wenye akili watakushangaa. Ni sawa na kumkimbiza kichaa.
Aah itoshe kusema, Raisi Magufuli hahitaji kujieleza, yeye keshatenda. Ni jukumu la Lissu kuwaambia watanzani Je Barrick/Accacia wameshinda kesi MIGA?
- Anapaswa kwa makini kutulia na kuona ni jinsi gani atatimiza manifesto (ilani) ya Chama cha Mapinduzi (CCM), ikumbukwe mambo mengi ametekeleza kuzidi matarajio (2015-2020) na sio kujadili mdahalo wa kujadili kuwa miundombinu ni maendeleo ya watu au vitu?
- Huyu ni mtu anayetumia akili kufikiri namna ya kuwaletea wananchi kwa kutumia rasilimali zilizopo na sio kufurahisha watu wa nje.
Wasalaam.
Mkuu Chadema ni vichekesho pale wapo wajasiriamali tuu, Yani wanachadema wanashindwa hata kurecall term iliyopita Lowassa alivyoinunua Chadema??, Lissu yuko pale kwa masirahi binafsi tuu.Ndugu zangu,
Kuna baadhi ya kikundi wanalazimisha kwa kufanya propaganda kuwa Tundu Lissu ni sawa na Raisi Magufuli, wanaenda mbali kwa kutaka ''mdahalo'', sijui nini na nini. Tuweke taarifa sawa, Tundu Lissu sifa zake ni hizi;
Kwa hoja hizo tatu itoshe kusema inashangaza kuona baadhi ya watu wanaoamini kuwa Tundu Lissu anamaanisha analolofanya kiasi cha kumlinganisha na Rais John Magufuli ambaye ametekeleza kwa kufanya mambo makubwa kwenye ujenzi wa nchi. Magufuli anapaswa kufanya yafuatayo;
- Anagombea urais kutafuta ruzuku ya chadema ili angalau baada ya uchaguzi aweze kupata chochote
- Anaogombea urais ili kuwaridhisha wafadhili wake; mfano mzuri hata hadhira na mambo anayozungumza yanahusu wakenya na wazungu.
- Tundu Lissu anaamini miundombinu, hospitali,shule nk ni maendeleo ya vitu sio watu; sasa hapa kufanya naye mjadala wenye akili watakushangaa. Ni sawa na kumkimbiza kichaa.
Aah itoshe kusema, Raisi Magufuli hahitaji kujieleza, yeye keshatenda. Ni jukumu la Lissu kuwaambia watanzani Je Barrick/Accacia wameshinda kesi MIGA?
- Anapaswa kwa makini kutulia na kuona ni jinsi gani atatimiza manifesto (ilani) ya Chama cha Mapinduzi (CCM), ikumbukwe mambo mengi ametekeleza kuzidi matarajio (2015-2020) na sio kujadili mdahalo wa kujadili kuwa miundombinu ni maendeleo ya watu au vitu?
- Huyu ni mtu anayetumia akili kufikiri namna ya kuwaletea wananchi kwa kutumia rasilimali zilizopo na sio kufurahisha watu wa nje.
Wasalaam.
Media makini hazitangazi hisia na uzushi! Zinatangaza issues na Lissu HANA UWEZO wa kuzungumzia issues.Achieni media zitangaze habari zake, uoga wa nini? Au ndio mnaelewa sasa hivi kuwa wananchi hawali ndege wala flyover
Hao mmewatoa dar akajipange huko eti mseme Igunga wamefunga njia
Yaan lisu hata hadhi ya ubunge Hana kwa Sasa labda ujumbe was nyumba kumi au mwenyekiti was serikali ya mtaa
Huu unaoanzisha hapa sio mjadala?Ndugu zangu,