Uchaguzi 2020 Hadhi ya Lissu ni sawa na wagombea ubunge, tusimlinganishe na Rais Magufuli

Tuwe wawazi japo kwa mara moja...

Tundu Lissu ni msomi kweli kweli.

Ukimsikiliza katikati ya mstari unabaini kweli ni mtu anayezungumza kweli kweli.

Hata lugha yake ina ujazo na uzito!


Kwahiyo unataka kuniambia mgombea wetu hajui lugha ya malkia sawa sawa !.
 
Kama wanataka mdahalo saizi yake Lissu ni Mzee Rungwe Sipunda,hao wanaotaka mdahalo waambieni hatuli midahalo,sisi tunajua utendaji uliotukuka wa serikali ya CCM,ilani zinatekelezwa huyo wa midahalo akafanye na Sackur
 


Watu wa usalama wote tunawajua fanyeni Kazi kwa nchi sio matumbo yenu🤣 makada
 
Mm nashawashangaa watu wanaosema watakula ma fryover hivi mnajua kero ya foreni iliyokuwepo kabla? Umetoka zako pengine bukoba au kigoma umechoka na safari unaanza kukutana na foreni mula ndizi mpaka kufika ubungo unajisikia je? Acheni kupinga kila kitu munajiabisha leteni hoja namna gani upinzani utatutoa hapa tulipo kwenda sehemu nyingine nzuri zaidi ili watu tuvutiwe na sera, sio malalamiko tu ambayo hayana tija,wa suruhu vinginevyo tutawaona kama kundi la wahuni tu wasio itakia mema inchi yetu kwa kupinga kila kitu hata kitu ambacho kina manufaa kwenye jamii nikupinga tu.
 

Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana huwezi kulinganisha na jf members. Kutoa maoni kwenye Uzi kama huu ni kujidhalilisha.
 
Miga vipi? Nyie barrick mmeshinda kesi?

..barrick wameshinda.

..walikuwa wanadaiwa usd 191 billion na wameweza kuteremsha deni hilo mpaka usd 300 million.

..na tangu 2017 mpaka leo bado hawajamaliza kulipa.
 
Tuliza mshono huo ili dawa ya mh Lissu ikuingie vizuri na upone
 
Mwaka huu lazima urudi kwenu mwambani ukaanze tena kazi yako ya kuuza mabichi na samaki wa ziwa rukwa
 
Achieni media zitangaze habari zake, uoga wa nini? Au ndio mnaelewa sasa hivi kuwa wananchi hawali ndege wala flyover
Wanamuogopa utadhani yeye ndiye alikuwa anaendelea na kampeini kwa miaka mitano.
 
Alishasema ye ana damu ya kenya..maana alipoumwa aliwekewa damu nyingi ya wakenya..kwa hiyo hatupambani tu na mpinzani ndani ya nchi ila pia tunapambana na nchi jirani.
Mlivyo mpiga marisasi yote yale hamkujua kuwa angemwagika damu?
 
Media zina wengi wa kutangaza..sio yeye peke yake maana halipii airtime.
Sasa tulieni hiyo mishono yenu mh Lissu awajuze watanzania jinsi mnavyo iendesha nchi kiimla
 
Ccm kwa sasa hivi ndiyo inazidi kuchukiwa kila mahali hapa nchini na nje ya nchi.

Watu waliikuta nchi yenye watu wenye furaha wakaivuruga tu kwa ujeuri tu.
 
Wamesahau kuwa majuto ni mjukuu
 
****.... ACHA KUWEWESEKA! NEC HAWAJAFUNGULIA KAMPENI! LISSU HAFANYI KAMPENI. ANATAFUTA WADHAMINI. KWAIO HATAKIWI KUFANYA KAMPENI YOYOTE. SASA ULITAKA AWAAHIDI MAJI AU UMEME WANANCHI WAKATI MUDA WA KAMPENI BADO??
Point
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…