#COVID19 Hadi 07/10/2021 wananchi wa Marekani waliochanja ni 65%. Lakini maambukizi mapya ni 102,000 na vifo kwa jana ni 1,709!

Upuuzi gani tena huu umeandika? Tangu uanze kuishi hujui kazi ya chanjo? Tuna kazi sana kuelimisha vilaza kama wewe unayehoji kipumbavu.
Chanjo zingine hukinga maambukizi,wewe genius nakuuliza chanjo ya Corona inamkinga mtu asiambukizwe?, na inamkinga kwa muda gani?
Jibu Sasa genius!
 
Mungu aliamua kuiponya Tanzania kwa ajili yake mwenyewe.
Mungu ataendelea kuwafedhehesha wanaotaka chanjo na barakoa zibebe utukufu,kuwa zimepunguza maambukizi.
Ndiyo maana watu wamegoma kuchanjwa na kuvaa barakoa ili Mungu abaki kujulikana ndiye anailinda nchi.
Kweli kabisa, watanzania walio wengi sana wamesema hapana kwa chanjo na hawavai barakoa! Siyo kwa sababu ya kudharau sayansi ya tiba bali kwa sababu hawaonj sababu ya vitu hivyo maana Mungu alishawapo ya tayari na wanaendelea kumtukuza na kumshukuru. Hawataki sayansi ya tiba ijitwalie sehemu ya utukufu anaoustahili Mungu peke yake. Dunia yote na mashahidi jinsi watanzania walivyomtanguliza Mungu kwa kufanya maombi ya siku 3 ili ungu aturehemu, atusamehe na atuponye na janga la corona. Dunia ilitucheka sana, ilitudhihaki sana na ikatutabiria kuwa tutaokota miili ya watu barabarani!!! Mungu alixikia maombi yetu akatuponya na janga hili la corona hapo 2020. Watanzania tukaamua kufanya tena maombi ya shukrani kwa Mungu kwa siku zingine 3 na tukzitangazia dunia kuwa Tanzania tumepona. Dunia ikatucheka tena na kutudhihaki, lakini kiongozi wetu wa wakati huo JPM akaagiza shule na vyuo vifunguliwe na vikafunguliwa!! Toka hapo dunia yote ni mashahidi kuwa tangu vyuo na shule zifunguliwe hazijawahi kufungwa tena kwa ajili ya corona hazitakuja kufungwa tena kwa ajili ya corona!! Dunia na mawàkala wa mabeberu wameamua kujitoa ufahamu na kufumbia macho ukweli huu usioweza kukanushika!!! Dunia imeshuhudia mataifa mengi kufunga shule na vyuo mara kwa mara na mataifa mengine bado hayajafungua shule hata mipaka yao hadi sasa!! Tanzania hatuna shida hiyo!! Kwa ufahamu huo mabeberu na mawakala wao wasitegemee watanzania walio wengi wataondoa macho yao kwa Mungu aliyewaponya na corona halafu wageukie mungu wa chanjo na barakoa ambaye wale waliomtanguliza hajaweza kuwaokoa (Marekani, Ufaransa, Uingereza, nk)!!!! Nayaambia mataifa haya na vibaraka wao walioko Tanzania kuwa huyo mungu wenu chanjo, barakoa, lockdown nk hajaweza kuwaokoa wala kuwakinga humuwezi kutushawishi watanzania tukamkubali wala kumpa nafasi!! Tunaye Mungu wetu muumba wa mbingu na nchi huyo ndiye alituokoa na hamkuona tukiokota miili barabarani kama mlivyotazamia na huyo peke yake ndiye tunayemtukuza!!! Kafieni mbali na huyo mungu wenu aliyeshindwa kuwaokoa!!!! Kama hajawaokoa ninyi bado mnaambukizana kwa kiwango cha kuzidi laki kwa siku, vifo zaidi ya 1000 kwa siku atawezaje kutuokoa sisi? Tuacheni na Mungu wetu anàyeweza kuokoa nanyi bakini na mungu wenu asiyeweza kuokoa!! Sisi ujinga huo hatuna!!!!
 
Kweli kabisa umenena.
Walijaribu kuja na vitisho ooh wimbi la sita ni hatari,wimbi lenyewe likafuata kule alikoeleka kimbunga Jobo.
Mungu humurehemu amtakaye yeye.
 
Ingia kwenye worldometer ujionee mwenyewe!! Hata takwimu za Tanzania utaziona hapo !
China wao juzi hawakuwa na ambukizi hata moja, , , hizi vitu vinategemea na immunities za jamii husika, inaonekana kwa hapa bongo, wananchi wengi wametengeneza immunity dhidi ya covid kwa kiasi kikubwa, wala tusimsingizie sijui mungu ndo anaepusha, baada ya watanzania eti kusali sana, , sala haziondoi ugonjwa, ,
Utakuta kila wave nyingine ikija, kwa TZ haimalizi miezi mitatu watu wanakua wameshajenga resistant dhidi ya strain husika, , lakini haina maana kuwa watu hawaugui ana kufa kwa covid nchi hii
 
Hapo ndkpo mjue hii chanjo ya corona haisaidii kitu. Marekani ni moja ya mataifa ya kibeberu yaliyofanikiwa kuchanja zaidi ya asilimia 60 ya watu wake. Kiwango hicho kinadharia kinapaswa kuikinga jamii na maambukizi mapya kwa kuleta kitu kiitaacho "herd immunity", Lakini kwa corona hakuna cha herd immunity wala baba yake na herd immunity! Pamoja na Marekani kufikia kiwango kinachotegemewa kupata kinga kwa kundi zima la raia wao, lakini bado corona imeambukiza watu 102,090, na imeua watu 1,709 kwa jana peke yake!!
Huu ni ushahidi tosha kuwa chanjo haizuii maambukizi mapya wala haizuii vifo!! Hizi ni taarifa za wazi ambazo kila mmoja anaweza kuziona akitaka!! Kinachoshangaza ni watu kuamua kujitoa ufahamu na kuwadanganya watu kuwa chanjo itawalinda na corona!! Hao wanaoambukizwa kila siku wengi wao wana chanjo mbili!! Je wewe unayeng'ang'nia watu wachanje kachanjo kamoja katika jamii ambayo waliochanjwa hawafiki hata asilimia 1% utakuwa umesaidia nini% Kama asilimia 65% imeshindwa kuwakinga waliochanjwa je asilimia 1% kwa hapa
Tanzania itaweza kuwakinga? ( mpaka majuzi, watu waliokuwa wamechanjwa Tanzania walikuwa asili ia 0.5%).
Kila mmoja ni shahidi kuwa Tanzania ambao hatujapata chanjo tuko salama kuliko Marekani walikochanjwa wengi! Huu ni ushahidi wa wazi unaoonesha kuwa mbinu tuliyotumia watanzania ya ku tanguliza Mungu katika vita hii ya corona, inafanya kazi vizuri na kwa uhakika kulika mbinu ya kutanguliza "sayansi" na kumpa Mungu nafasi ya pili!! Mawakala wa mabeberu wanaitafuta corona kwa tochi hapa Tanzania hadi wanalazimika kutoa data za uongo ili tu kuwafurahisha mabeberu ili waachie "mkopo". Kwa kweli watanzania tutakuwa watu wa ajabu sana kama tusipoweza kuona uponyaji huu mkubwa sana kwa Taifa letu!!
Asante mkuu. Mwenye sikio na asikie.
Watu wameamua kumtumikia ibilisi live katika department yake ya mauti.
Mungu anaona.
Tanzania itashinda kwa neema ya Mungu.
 
You may or you may not be correct. But it's a known fact that currently available vaccines do not offer 100% protection from infection & re-infection. Nevetheless further studies are needed (and infact studies are on-going). More and more facts are emerging with regards to effectiveness of various Covid-19 vaccines (e.g. as seen in current data on the effectiveness of Pfizer Vaccine👇👇)
https://www.upi.com/Health_News/2021/10/07/covid19-pfizer-vaccine-immunity-wanes-studies/2881633626128/
 
Ila ishasemwa...

Chanjo haukuzuii kuambukizwa au kuambukiza corona...
 
Sawa lakini bila kuchanja tunatengwa kiuchumi na nchi inakuwa hatarini kusambaratika.

Kwa kuwa ukichanja hupungukiwi kitu ni bora kuchanja Ili kuokoa kutengwa kiuchumi Ili kusudi maisha yaendelee..

Hata hivyo sina hakika kama hayo maambukizi mapya ni asilimia ngapi wamechanjwa maana umeleta taarifa kiushabiki shabiki.

Chagua uchanje ukokoe uchumi au usichanje uvuruge uchumi uwe kama Zimbabwe
 
Umesomea kitu gani mkuu?

Ingawa hata sijasoma hayo uliyoandika huko chini, lakini kichwa cha mada yako na hitimisho hilo hapo limenifanya nikuone kuwa hujui kitu chochote juu ya maswala haya.

Lakini siyo hivyo tu, hata kama wewe ni mpiga 'propaganda' tu, inaonekana wazi kwamba hata kazi hiyo huna uwezo nayo.

Sasa basi, kama umepewa kazi ya kueneza ujinga, huyo aliyekupa kazi hiyo inawezekana hana anachojuwa, kwa sababu angejuwa asingeajili mtu kama wewe!.

Mnaigeuza JF kuwa sehemu ya kusambaza ujinga!
Ongea point na sio ku diss tuu mtu kwa interest binafsi

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
You may or you may not be correct. But it's a known fact that currently available vaccines do not offer 100% protection from infection & re-infection. Nevetheless further studies are needed (and infact studies are on-going). More and more facts are emerging with regards to effectiveness of various Covid-19 vaccines (e.g. as seen in current data on the effectiveness of Pfizer Vaccine👇👇)
https://www.upi.com/Health_News/2021/10/07/covid19-pfizer-vaccine-immunity-wanes-studies/2881633626128/
Nmesoma kingereza chako umeongea vile vile kama Dr.Anthony Fauci. 😀 😀 😀
 
Hapo ndkpo mjue hii chanjo ya corona haisaidii kitu. Marekani ni moja ya mataifa ya kibeberu yaliyofanikiwa kuchanja zaidi ya asilimia 60 ya watu wake. Kiwango hicho kinadharia kinapaswa kuikinga jamii na maambukizi mapya kwa kuleta kitu kiitaacho "herd immunity", Lakini kwa corona hakuna cha herd immunity wala baba yake na herd immunity!

Pamoja na Marekani kufikia kiwango kinachotegemewa kupata kinga kwa kundi zima la raia wao, lakini bado corona imeambukiza watu 102,090, na imeua watu 1,709 kwa jana peke yake!

Huu ni ushahidi tosha kuwa chanjo haizuii maambukizi mapya wala haizuii vifo!! Hizi ni taarifa za wazi ambazo kila mmoja anaweza kuziona akitaka!! Kinachoshangaza ni watu kuamua kujitoa ufahamu na kuwadanganya watu kuwa chanjo itawalinda na corona!! Hao wanaoambukizwa kila siku wengi wao wana chanjo mbili.

Je, wewe unayeng'ang'nia watu wachanje kachanjo kamoja katika jamii ambayo waliochanjwa hawafiki hata asilimia 1% utakuwa umesaidia nini% Kama asilimia 65% imeshindwa kuwakinga waliochanjwa je asilimia 1% kwa hapa.

Tanzania itaweza kuwakinga? (mpaka majuzi, watu waliokuwa wamechanjwa Tanzania walikuwa asili ia 0.5%).

Kila mmoja ni shahidi kuwa Tanzania ambao hatujapata chanjo tuko salama kuliko Marekani walikochanjwa wengi! Huu ni ushahidi wa wazi unaoonesha kuwa mbinu tuliyotumia watanzania ya ku tanguliza Mungu katika vita hii ya corona, inafanya kazi vizuri na kwa uhakika kulika mbinu ya kutanguliza "sayansi" na kumpa Mungu nafasi ya pili.

Mawakala wa mabeberu wanaitafuta corona kwa tochi hapa Tanzania hadi wanalazimika kutoa data za uongo ili tu kuwafurahisha mabeberu ili waachie "mkopo". Kwa kweli watanzania tutakuwa watu wa ajabu sana kama tusipoweza kuona uponyaji huu mkubwa sana kwa Taifa letu!
Kwahiyo unachotaka kutuambia ni kuwa hawana akili na hivyo vifo hawavioni mpaka waendelee kuchanja...?
 
Back
Top Bottom