Kweli kabisa, watanzania walio wengi sana wamesema hapana kwa chanjo na hawavai barakoa! Siyo kwa sababu ya kudharau sayansi ya tiba bali kwa sababu hawaonj sababu ya vitu hivyo maana Mungu alishawapo ya tayari na wanaendelea kumtukuza na kumshukuru. Hawataki sayansi ya tiba ijitwalie sehemu ya utukufu anaoustahili Mungu peke yake. Dunia yote na mashahidi jinsi watanzania walivyomtanguliza Mungu kwa kufanya maombi ya siku 3 ili ungu aturehemu, atusamehe na atuponye na janga la corona. Dunia ilitucheka sana, ilitudhihaki sana na ikatutabiria kuwa tutaokota miili ya watu barabarani!!! Mungu alixikia maombi yetu akatuponya na janga hili la corona hapo 2020. Watanzania tukaamua kufanya tena maombi ya shukrani kwa Mungu kwa siku zingine 3 na tukzitangazia dunia kuwa Tanzania tumepona. Dunia ikatucheka tena na kutudhihaki, lakini kiongozi wetu wa wakati huo JPM akaagiza shule na vyuo vifunguliwe na vikafunguliwa!! Toka hapo dunia yote ni mashahidi kuwa tangu vyuo na shule zifunguliwe hazijawahi kufungwa tena kwa ajili ya corona hazitakuja kufungwa tena kwa ajili ya corona!! Dunia na mawàkala wa mabeberu wameamua kujitoa ufahamu na kufumbia macho ukweli huu usioweza kukanushika!!! Dunia imeshuhudia mataifa mengi kufunga shule na vyuo mara kwa mara na mataifa mengine bado hayajafungua shule hata mipaka yao hadi sasa!! Tanzania hatuna shida hiyo!! Kwa ufahamu huo mabeberu na mawakala wao wasitegemee watanzania walio wengi wataondoa macho yao kwa Mungu aliyewaponya na corona halafu wageukie mungu wa chanjo na barakoa ambaye wale waliomtanguliza hajaweza kuwaokoa (Marekani, Ufaransa, Uingereza, nk)!!!! Nayaambia mataifa haya na vibaraka wao walioko Tanzania kuwa huyo mungu wenu chanjo, barakoa, lockdown nk hajaweza kuwaokoa wala kuwakinga humuwezi kutushawishi watanzania tukamkubali wala kumpa nafasi!! Tunaye Mungu wetu muumba wa mbingu na nchi huyo ndiye alituokoa na hamkuona tukiokota miili barabarani kama mlivyotazamia na huyo peke yake ndiye tunayemtukuza!!! Kafieni mbali na huyo mungu wenu aliyeshindwa kuwaokoa!!!! Kama hajawaokoa ninyi bado mnaambukizana kwa kiwango cha kuzidi laki kwa siku, vifo zaidi ya 1000 kwa siku atawezaje kutuokoa sisi? Tuacheni na Mungu wetu anàyeweza kuokoa nanyi bakini na mungu wenu asiyeweza kuokoa!! Sisi ujinga huo hatuna!!!!