Hadi Juni 2024, zimeripotiwa taarifa za watu zaidi ya 50 waliotekwa na kupotezwa kabisa

KAtika wakati wa hofu ubongo unafaanya kazi mara 1000 na ndio maana tukio ulilofanyiwa ujiwa na hofu huwa halifutiki
 
How many you are mliovuka hiyo level? Mkiwa wachache hamuwezi kushinda na mtaishia kuumia.

Sawa yangu macho na maskio siwezi wabishia maana Kila mtu amezakiwa Kwa aina yake na Kwa lengo tofauti but Mimi siwezi fanya lengo ambalo sijazaliwa kwalo
How many you are!!!!
 
Siku yaja, utatoka Kupambana HAKI pale watakapoguswa uwapendao, mtoto, au wazazi utajua.
Nitawafundisha kuwa docile kama nilivyofundoehwa ingawa Kuna wakati mambo yanaudhi sana.

Best way ya kupambana na haya mambo ni kuchukua upande ila sio kupambana kienyeji kienyeji 😂😂
 
H
Kingai anasemaje?

Hao wahusika lazima ni yuvisisiemu chini ya polisisiemu.
 
H
Kingai anasemaje?

Hao wahusika lazima ni yuvisisiemu chini ya polisisiemu.
 
Watu 50 wamepotea lakini Chadema na Zito kabwe wako kimya
 
Katibu 🐼
 
Arusha alikwenda kuriport kwa kamanda mkuu wa utekaji.. kwa wenye "D" mbili hili haliwasumbui kuling'amua
Nilijiuliza sana kwanini aende Arusha kwanin wasingeenda moja kwa moja katavi? Je, hao watekaji hawakua na prio- knowledge kwamba msimu huu ni wa utalii na wageni ni wengi hivyo yatupasa twende moja kwa moja katavi? Je, kuna kitu kiliendelea baada ya kufikishwa hapo Arusha? Alihojiwa? Alijaribu kusikiliza sauti za wahojaji wake hata wa huko Arusha?
 
Hii inaitwa dunia ndugu yangu, usiongee Sana Hadi unakufuru kiasi hiki maana hujui kesho inaweza kumkuta ndugu yako au Mtoto wako.
 
Duuh watatumaliza
 
Ba
Inamaana hapo Dar es salaam hakuna mahala kuna chatu? Walishindwa kumtupa deep sea hapo na kumonitor survival yake in 30mins tu.

Nahisi Arusha na Katavi bado kulikuwa na project inayoendelea, kuna walichokuwa wanatafuta.
Bahati haikai Na uchafu,hata ukitupwa deep sea mawimbi yatskuleta pwani,labda uliwe na nyangumi
 
Aiseee inasikitisha sana.

Wajiulize mara mbili hao watekaji ,why SATIVA amesurvive.
 
sasa kwanini wampeleke kwanza arusha? kwanini?, pia, jueni ya kwamba yupo Mungu atawalaye dunia nzima, anawaona, na ni mtoa haki. hakuna nafsi iliyodhurumiwa ambayo Mungu huwa halipi. Mungu ni wa haki, akiwa mbinguni huwa anaangalia wapi haki ipo na wapi haki inavunjwa, pale inapovunjwa hushuka ghafla kuja kutetea. ndio maana Mungu hiuitwa Mungu mwenye haki.
 
Walikuwepo akina Paul, akina Heri James na wengine akina Muro na Mnyeti waliongeaga kama wewe hivi.

Lakini mwisho walipita na wao. Na wewe ongea hivyo utapita tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…