Hadi Juni 2024, zimeripotiwa taarifa za watu zaidi ya 50 waliotekwa na kupotezwa kabisa

Angekuwa kaka au mdogo wako ungeyasema haya?
 
Ku
 
Choice ni yapi maono yako kwenyi hilu?
 
Choice ni yapi maono yako kwenyi hilu?
Ni jambo la kusikitisha ,Polisi washughulikie hali hii.

Pia huenda Huwa yanatokea ila Kwa Sasa kuimarika Kwa njia ya upashanaji habari ndio imesaidia taarifa hizi kujulikana.
 
Ni jambo la kusikitisha ,Polisi washughulikie hali hii.

Pia huenda Huwa yanatokea ila Kwa Sasa kuimarika Kwa njia ya upashanaji habari ndio imesaidia taarifa hizi kujulikana.
Kwani enźi iliyopita vipi ukilinganisha na sasa?
 
Hadi kufikia kumuondoa binadamu mwenzio ni zaidi ya ukatili kama mmehitilafiana yazungumzeni.

Damu za watu hazitowaacha salama
 
Kuna uhusiano wa dini na kutekwa? Naona Wagalatia wanaongoza kwa kutekwa
 
Tanzania ina namna nzuri ya kuwashughulia wanaojifanya Gen Z!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…