Hadi kufikia Novemba 24, 2024, Idadi ya watu waliopaswa kuondoka Marekani ni 1,445,549, wamo watanzania 301

Aisee hii kitu isikie tu, kuna jamaa wakati naishi Sinza miaka ya mwanzo ya elfu 2 alirudishwa kutoka Uk aisee alirudi na nguo alizokuwa amevaa. Kilichosaidia mzee wake alikuwa anajiweza kiasi ilq jamaa alikuwa kama amepagawa.
 
Mange Kimambi vipiii?
 
Waje tu tuyajenge
 
Aisee hii kitu isikie tu, kuna jamaa wakati naishi Sinza miaka ya mwanzo ya elfu 2 alirudishwa kutoka Uk aisee alirudi na nguo alizokuwa amevaa. Kilichosaidia mzee wake alikuwa anajiweza kiasi ilq jamaa alikuwa kama amepagawa.
Kwani hawakupi muda wa kuuza mali zako?
 
Kabisa mtu alie kaa US hata mwezi tu kuna namna anajifunza ubora hata kama ni mjinga wa mwisho.

Kwanza kwenda huko tu ni kwamba huyo mtu ana upeo mkubwa sana.
Ndio unavyofikiria mkuu? Sisi wengine tumekaa Ulaya baadae tukarudi zetu home tukagundua kuwa kumbe tulipoteza muda bure huko majuu. Kila kitu kizuri kipo Afrika mkuu huko ni majengo tu na hakuna ubinadamu kabisa.
 
Umesema sahihi Mkuu, lakini palipo na changamoto Kuna suluhu

Kwahiyo muhimu waje na akiba ya kuwasaidia kula, kukodi apartment kwaajili ya kuishi na Mipango ya kufanya biashara.

Kuna Wachina wanakuja bongo hawana hata milioni 100 lakini baada ya muda wanapata Utajiri humu humu nchini
 
Ndio unavyofikiria mkuu? Sisi wengine tumekaa Ulaya baadae tukarudi zetu home tukagundua kuwa kumbe tulipoteza muda bure huko majuu. Kila kitu kizuri kipo Afrika mkuu huko ni majengo tu na hakuna ubinadamu kabisa.
Ni wewe ulipoteza na sio wengine, nasemaje ni mpumbavu tu atakaa ulaya na America asifanye chochote cha maana hiyo bongo nyosoo.
 
Kuliko kuwafukuza hao wahamiaji, alitakiwa awapeleke jeshini wakapigane vita huko ulimwenguni huku wao wakitangulizwa mbele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…