Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nishamwambia bibi akuandalie mbege mtu wangu 😹😹Hahahaha hapana mimi sio mmatumbi mwenzenu dhubutu😁😁
Labda kama sio mimiNyie member wa JF mpewe vitambulisho ili member wenzenu tuwapokee.!! 😹
Mange Kimambi vipiii?Idadi ya watanzania wanao ondolewa katika ardhi ya Marekani na kurudishwa nyumbani imetolewa leo na mamlakani ya kudhibiti wahamiaji haramu nchini humo (ICE) chini ya Utawala mpya wa rais Trump.
Hapo jana idara ya ICE ilikamata wahamiaji 957 huku waziri wa mambo ya ndani akijiunga hivi leo katika operation hiyo mjini New York
Karibuni nyumbani sana watanzania
USSR
Waje tu tuyajengeIdadi ya watanzania wanao ondolewa katika ardhi ya Marekani na kurudishwa nyumbani imetolewa leo na mamlakani ya kudhibiti wahamiaji haramu nchini humo (ICE) chini ya Utawala mpya wa rais Trump.
Hapo jana idara ya ICE ilikamata wahamiaji 957 huku waziri wa mambo ya ndani akijiunga hivi leo katika operation hiyo mjini New York
Karibuni nyumbani sana watanzania
USSR
Kumbe umeliona hilo eeh?Kwani huyo dada ana tatizo gani? Wabongo wengi hasa nyie wenye vi mia mbili mna ogopa sana kukosolewa sijui kwanini?
Nawajua sana hawa mkuuKumbe umeliona hilo eeh?
Kwani hawakupi muda wa kuuza mali zako?Aisee hii kitu isikie tu, kuna jamaa wakati naishi Sinza miaka ya mwanzo ya elfu 2 alirudishwa kutoka Uk aisee alirudi na nguo alizokuwa amevaa. Kilichosaidia mzee wake alikuwa anajiweza kiasi ilq jamaa alikuwa kama amepagawa.
kwani kunashida gani tukizungumza nae nduguKwani huyo dada ana tatizo gani? Wabongo wengi hasa nyie wenye vi mia mbili mna ogopa sana kukosolewa sijui kwanini?
Hakuna shida ndugu waheshimiwa kwanza nimelewa leo tuseme mimi ni mlevi, hata kisheria natambulika mkuu ...kwani kunashida gani tukizungumza nae ndugu
Ndio unavyofikiria mkuu? Sisi wengine tumekaa Ulaya baadae tukarudi zetu home tukagundua kuwa kumbe tulipoteza muda bure huko majuu. Kila kitu kizuri kipo Afrika mkuu huko ni majengo tu na hakuna ubinadamu kabisa.Kabisa mtu alie kaa US hata mwezi tu kuna namna anajifunza ubora hata kama ni mjinga wa mwisho.
Kwanza kwenda huko tu ni kwamba huyo mtu ana upeo mkubwa sana.
Umesema sahihi Mkuu, lakini palipo na changamoto Kuna suluhuKwa mtu aliekaa states BONGO anaweza ishia kuwa frustrated, mifumo mbalimbali ya kijamii na kiuchumi imekaa kindezi sana, kuanzia utoaji wa huduma mbalimbali za kijamii hadi kuimpliment wazo la biashara ni utata mtupu! Rushwa, kodi kandamizi, ujanja ujanja mwingi na takataka zingine
Ni wewe ulipoteza na sio wengine, nasemaje ni mpumbavu tu atakaa ulaya na America asifanye chochote cha maana hiyo bongo nyosoo.Ndio unavyofikiria mkuu? Sisi wengine tumekaa Ulaya baadae tukarudi zetu home tukagundua kuwa kumbe tulipoteza muda bure huko majuu. Kila kitu kizuri kipo Afrika mkuu huko ni majengo tu na hakuna ubinadamu kabisa.
Lipo kifungoni nilimchongea kwa mods amekula ban ndefu.
Ulishawahi kufika huko mkuu au uko pale Tandale?Ni wewe ulipoteza na sio wengine, nasemaje ni mpumbavu tu atakaa ulaya na America asifanye chochote cha maana hiyo bongo nyosoo.