Hadi kufikia Novemba 24, 2024, Idadi ya watu waliopaswa kuondoka Marekani ni 1,445,549, wamo watanzania 301

Hakuna shida ndugu waheshimiwa kwanza nimelewa leo tuseme mimi ni mlevi, hata kisheria natambulika mkuu ...
walevi bana hivi mnaokotaga wapi hizi faraja...kwamba umelewa hivyo mkono wa sheria hukupati, ukijipa tumaini la moyo yakwamba mahakama itakufanyia matendo ya huruma eti ulikua umelewa, ndugu hizo pombe mnaekewa nini mkuu
 
Ukisoma huu uzi utagundua wabongo wengi wamejawa na roho za husda, unakuta mtu anafurahia kabsa daah!
Sasa Mkuu roho mbaya ndo default set up haswa kwa sisi wachamba wima unataka tufanyeje?? Tuanze kuigiza kwamba tunawaonea huruma ama??
Sisi ndo wabongo tumezaliwa na kulelewa kimaskini na kichawichawi.. kwetu paka akilia usiku hatuwazi kama ana njaa au ni mating call.. sisi tunakemea kinafki tunalala, usitulazimishe kufeki
 
Usiniulize swali hilo mimi, jiuze wewe ulishawahi kufika au unaropa ukiwa huko tandale?
Mkuu mimi nimezunguka dunia wewe acha tu! Nimekaa UK, Ireland, India, Botswana, Amsterdam just to mention chache!! Na bado sijataja za Afrika. Hivyo exposure yangu ni kubwa mno na nimejifunza mambo mengi sana katika kuzunguka huko.
 
Umeshawahi kusikia "next flight", nadhani ndio kinawakumba huko. Au wakikamatwa wanakuwa detained hadi siku ya kuondoka.

It's sad, itawaondoa kwenye reli wengi tu.
Kaka mkubwa wabongo walio toka bongo kutafuta hao ni mashujaa , kaka hata kama una pesa kiasi gani bongo hauwezi kukwepana na changamoto za kijinga kabisa.
 
Mkuu mimi nimezunguka dunia wewe acha tu! Nimekaa UK, Ireland, India, Botswana, Amsterdam just to mention chache!! Na bado sijataja za Afrika. Hivyo exposure yangu ni kubwa mno na nimejifunza mambo mengi sana katika kuzunguka huko.
Hizo nazo ni nchi? Usifananishe kiwanja na uchafu labda Uk kwa mbali , unataka kusemaje?.
 
Kaka mkubwa wabongo walio toka bongo kutafuta hao ni mashujaa , kaka hata kama una pesa kiasi gani bongo hauwezi kukwepana na changamoto za kijinga kabisa.
"Next flight" haijawahi kuwa rahisi kwa yoyote mkuu.
 
Wewe usiweke jina avatar tu tutakutambua 😹😹😹
Lamo,,,,, acha zako mimi sieezi ishiwa kitu kinaitwa pesa kwanza hapa natumia za babu bado za baba na zangu hazijaguswa kabisa ,labda hala kabinti kangu kaanze ukorofi🤣.
 
wengi wao ni over stay maana wengine walienda kwa mialiko ya ndugu,dini, mashirika etc..hiyo unapigwa ban moja kwa moja
 
Lamo,,,,, acha zako mimi sieezi ishiwa kitu kinaitwa pesa kwanza hapa natumia za babu bado za baba na zangu hazijaguswa kabisa ,labda hala kabinti kangu kaanze ukorofi🤣.
Wee acha kujitetea bhana, ndege yenu inatua saa ngapi? 😹😹
Nibebe hata sneaker basi, au hamtakiwi kuchukua chochote? 😜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…